iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

Alafu apple wana akili sana, maneno mengi, mabadiliko kiduchuuu, ila sasa. Acha wajanja tunasubiri pixel 8 baba wa software, nyie wa show off na status symbol pambaneni na iphone. Hazina jipya kwanzia 12 mpaka 15.
Tafuta pesa wewe,
Wewe una akili kuwazidi wazungu
 
Hasa mabinti na wanawake wengi... wanatumia iPhone kwa fashion, kuna mambo mengi productive hawayajui. Wao wanatafuta show-offs tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…