iPhone 18 Pro Max na Ultra Yaja! Kaa tayari kwa Sept 9


Wanatoa sim mpya kama ada sio kwa kuwa wanatech mpya wanakubadilishia housing wanaongeze hapo dollar 300
 
Ah Wallah 😂
 
Awali nilikua nazichukua sana simu za iphone na kuwaona watu wanaozishobokea kama hamnazo,ila banah nilipoanza kuitumia aiseh zina mvuto wa kipekee ,umasikini ni mbaya kila kitu utakosoa na kuchukia chanzo ni uhaba wa fedha
Tofauti kutumia kitu kutokana na kazi, mahaba, ushamba na kiwango cha fedha.

Kuna mtu anatumia android kwa sababu kazi zake zinahitaji mambo mengi kama kuhamisha documents, content creators.

Mwingine n kwa mahaba tuu,, kwamba mm napenda ios au android tuu.

Mwingine n ule ushamba wa kuendana na wakati, ukimuuliza kwanini unatumia ios atakuambia kwa sababu za usalama, ukiangalia kazi yake n kurusha makalio tik tok tuu, apps zilizopo ni hizi hizi ambazo hata mwenye tecno anazo.

Mwngine ndo huyo mwenye pesa, android pia inataka uwe na pesa kumiliki mashine nzuri.
 
Kwahiyo mchungaji unataka kusemaje?

Na unatumia iphone?
nataka kusema hivi tutafute hela huwa hazitoshi na hazijai,ukitaka kupata vizuri vizuri na furaha ya maisha ni uwe na pesa tu,

Mimi natumia ndiyo na sijawahi penda kurudi kwenye android, natambua simu zipo nyingi nzuri ila hapana aisehh iphone ni simu kamili safi kabisa pia inauzika chapu kubadilisha ni jambo jepesi kama nadanganya uliza watu wakuambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…