iPhone 18 Pro Max na Ultra Yaja! Kaa tayari kwa Sept 9

Kwamba Instagram ya ios na android ni tofauti?
Sio Insta tu bali hata Watsup na other apps, apps ktk iOS zimeshiba hasa na apps zinarum na kuonekana premium. Nina miezi kadhaa sasa nipo iOS baada ya kutoka Samsung, ndani baada ya muda kidogo nitarudi Samsung, Android anakupa uhuru zaidi wa apps na kuoperate simu kuliko iOS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…