Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,141
- 3,838
Kuna iphone haters wengi sana humu na Tz kwa jumla. Ni kama haters wavijana wanaomiliki magari..huwezi kuta mtu wa iphone anatoka povu la omo kuhusu simu zingine au anafungua uzi kuponda simu za android na zingine, sijui ni wivu au chuki tu! Dah...
watumiaji wengi wa iPhone wana hali ya napoleon syndromeWatumiaji wengi wa android phone wana hali inaitwa βinferiority complexβ
Usituharibie shughuli mjumbe.[emoji23][emoji23]
watumiaji wengi wa iPhone wana hali ya napoleon syndrome
simu haina customization ama kuruhus app nje ya apple store mtu ana jailbreak[emoji16] ili awe enjoy uhuru kama android
simu haina tundu la earphones za pini mtu anaanza kutafuta adapter
Simu haidumu chaji kama amdroid mtu anaanza kuwa na powerbank
Haiwezekani.Msaada, kwa anaetumia Android phone ila haina built in radio anafanyaje ili kusikiliza redio? Sio kwa kutumia apps ambazo olazima u-stream na zinatuma data. Ningependa kujua namna ya kusikiliza radio bila kutumia data.
Ni wivu tu ndugu mjumbe[emoji1787]Usituharibie shughuli mjumbe.[emoji23][emoji23]
sent from Samsung Galaxy A30
Haiwezekani.
sent from Samsung Galaxy A30
Msaada, kwa anaetumia Android phone ila haina built in radio anafanyaje ili kusikiliza redio? Sio kwa kutumia apps ambazo olazima u-stream na zinatuma data. Ningependa kujua namna ya kusikiliza radio bila kutumia data.
Hakuna kiongozi, radio tunazosikiliza hizi ni analogue kwa format yake now days ni online tu no way out kiongozi wala usihangaike stream tu onlineMsaada, kwa anaetumia Android phone ila haina built in radio anafanyaje ili kusikiliza redio? Sio kwa kutumia apps ambazo olazima u-stream na zinatuma data. Ningependa kujua namna ya kusikiliza radio bila kutumia data.
Rikiboy unatak awe kama anazile radio za kizamani anaenda kuwekea ishike fm station.Mkuu nenda kwa fundi anakuwekea tu...!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rikiboy unatak awe kama anazile radio za kizamani anaenda kuwekea ishike fm station.
Mkuu nenda kwa fundi anakuwekea tu...!!
Mzee wee ulisikia wapiii radio inawekwa kwenye simu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah..asee we jamaa mambo ya kimasihara yameshakuharibu. Ulitaka kuniingiza king live live ....ningeonekana futuhi kweli kwa mafundi simu.
Kilangi masanja Shukrani kiongozi.
Hahaaaaaaa haya BwanaMzee wee ulisikia wapiii radio inawekwa kwenye simu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo ukubali kwamba huna hela ya kununua bidhaa za Apple na sio utafute sababu za kuzikandia. Leo utasikia ni gereza, mara simu hazina mvuto.Mkuu bila hizi simu za laki za android ukoo hapa bongo wenye simu za bei wangebaki wachache tu.
Shukuru kwamba android wana simu hata za laki siku hizi hata watu wameongezeka wanaoweza kuanzisha ama kuchangia maada humu jamii forums zenye misaada, Hata huku whatsapp kumenoga zaidi pale hata wenzetu wenye vipato vya chini wanapoweza kujiunga whatsapp.
Ni kushukuru android kwa kufabikisha haya hapa Tanzania simu zimefanya tuishi kama kijiji kupitia social media, Kutumiana documents, taarifa muhimu, n.k
Android swala la bajeti si kikwazo, utapata simu ya laki hadi huko milioni 3 kama upo vizuri.
Apple huku bajeti walau uwe na milioni kama utahitaji simu dukani ukiachana na hizi za mitumba
Acha uongo kijana.watumiaji wengi wa iPhone wana hali ya napoleon syndrome
simu haina customization ama kuruhus app nje ya apple store mtu ana jailbreak[emoji16] ili awe enjoy uhuru kama android
simu haina tundu la earphones za pini mtu anaanza kutafuta adapter
Simu haidumu chaji kama amdroid mtu anaanza kuwa na powerbank
Ungemponza mwenzio by aisee hatulingani uelewa kabisa kiongozi, ungekua sumu na ndio amekunywa si kesi hio kabisa na ungefungwa πππππππππ.Hahaaaaaaa haya Bwana
Mzee wee ulisikia wapiii radio inawekwa kwenye simu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]