iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Kuna iphone haters wengi sana humu na Tz kwa jumla. Ni kama haters wavijana wanaomiliki magari..huwezi kuta mtu wa iphone anatoka povu la omo kuhusu simu zingine au anafungua uzi kuponda simu za android na zingine, sijui ni wivu au chuki tu! Dah...

Watumiaji wengi wa android phone wana hali inaitwa “inferiority complex”
 
watumiaji wengi wa iPhone wana hali ya napoleon syndrome

simu haina customization ama kuruhus app nje ya apple store mtu ana jailbreak😁 ili awe enjoy uhuru kama android

simu haina tundu la earphones za pini mtu anaanza kutafuta adapter

Simu haidumu chaji kama amdroid mtu anaanza kuwa na powerbank
 
Msaada, kwa anaetumia Android phone ila haina built in radio anafanyaje ili kusikiliza redio? Sio kwa kutumia apps ambazo olazima u-stream na zinatuma data. Ningependa kujua namna ya kusikiliza radio bila kutumia data.
 
watumiaji wengi wa iPhone wana hali ya napoleon syndrome

simu haina customization ama kuruhus app nje ya apple store mtu ana jailbreak[emoji16] ili awe enjoy uhuru kama android

Sorry to bust your wonderful bubble
 
Msaada, kwa anaetumia Android phone ila haina built in radio anafanyaje ili kusikiliza redio? Sio kwa kutumia apps ambazo olazima u-stream na zinatuma data. Ningependa kujua namna ya kusikiliza radio bila kutumia data.
Haiwezekani.

sent from Samsung Galaxy A30
 
Hata siiwaziagi kabisa. Sitopoteza uhalisia wangu.
 
Mkuu nenda kwa fundi anakuwekea tu...!!
Msaada, kwa anaetumia Android phone ila haina built in radio anafanyaje ili kusikiliza redio? Sio kwa kutumia apps ambazo olazima u-stream na zinatuma data. Ningependa kujua namna ya kusikiliza radio bila kutumia data.
 
Msaada, kwa anaetumia Android phone ila haina built in radio anafanyaje ili kusikiliza redio? Sio kwa kutumia apps ambazo olazima u-stream na zinatuma data. Ningependa kujua namna ya kusikiliza radio bila kutumia data.
Hakuna kiongozi, radio tunazosikiliza hizi ni analogue kwa format yake now days ni online tu no way out kiongozi wala usihangaike stream tu online
 
Mkuu bila hizi simu za laki za android ukoo hapa bongo wenye simu za bei wangebaki wachache tu.

Shukuru kwamba android wana simu hata za laki siku hizi hata watu wameongezeka wanaoweza kuanzisha ama kuchangia maada humu jamii forums zenye misaada, Hata huku whatsapp kumenoga zaidi pale hata wenzetu wenye vipato vya chini wanapoweza kujiunga whatsapp.

Ni kushukuru android kwa kufabikisha haya hapa Tanzania simu zimefanya tuishi kama kijiji kupitia social media, Kutumiana documents, taarifa muhimu, n.k

Android swala la bajeti si kikwazo, utapata simu ya laki hadi huko milioni 3 kama upo vizuri.

Apple huku bajeti walau uwe na milioni kama utahitaji simu dukani ukiachana na hizi za mitumba
Ndo ukubali kwamba huna hela ya kununua bidhaa za Apple na sio utafute sababu za kuzikandia. Leo utasikia ni gereza, mara simu hazina mvuto.

Asilimia kubwa ya watu wanaopondea iphone ni kwamba hawana uwezo wa kuzimiliki. Na sio suala la customization.
 
watumiaji wengi wa iPhone wana hali ya napoleon syndrome

simu haina customization ama kuruhus app nje ya apple store mtu ana jailbreak[emoji16] ili awe enjoy uhuru kama android

simu haina tundu la earphones za pini mtu anaanza kutafuta adapter

Simu haidumu chaji kama amdroid mtu anaanza kuwa na powerbank
Acha uongo kijana.

Wewe una customize nini cha maana?

Headphone jack ni suala la muda. Miaka miwili mbele hakutakuwa na flagship yenye headphone jack. Labda hizo tecno wherever.

Kukaa na chaji ni kununua simu used. Nunua brand new toka ellite computers au istore uone uzuri wa iphone. Sio hizo used za makumbusho.
 
Mzee wee ulisikia wapiii radio inawekwa kwenye simu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna wataalam wa kucheza na simu mambo ya rooting, chipsets na bla blaa nyingine nikajua labda naweza update version tu na simu ikakubali FM radio.
 
Back
Top Bottom