iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...


Acha kudanganya watu wewe[emoji23] xda comunity gani utapata custom rom ya tecno camon 7 ya latest android🤣🤣. Kuna vi android ukinunua ndo umefunga ndoa na iyo rom hata update hakuna hata iwe camon 15 utabaki na iyo android 10 hadi ife hadi ifike wakati whatsapp wanakuambi “ this version is not compatible with this android version pls update”. Na hakuna update. Unabaki na kopo lako apps zinakataa🤣🤣.
Usidanganye watu hapa. Simu pekee zinazojitahidi kwenye android updates ni nokia. Hata samsung matoleo ya flagships za s7 kwenda chini hazina latest android soon zitakua kopo tuu. Hata xda wanazichinjia mbali kwenye custom rom.
 
Usidanganye watu hapa. Simu pekee zinazojitahidi kwenye android updates ni nokia. Hata samsung matoleo ya flagships za s7 kwenda chini hazina latest android soon zitakua kopo tuu. Hata xda wanazichinjia mbali kwenye custom rom.

This is not true. S5, s6, s7 zina custom ROMs za android 10 (stock android sio hyo skin ya samsung).

Kwa upande wa updates samsung wako vizuri sana kuliko Nokia. Wanachozingua wao ni kuchelewa kutoa android version update kwa haraka (zinachelewa kutoka ila zinafika), lakini kwenye security updates wako vizuri sana baada ya kushift kuja kwenye OneUI. Samsung kwa sasa ni wa pili kwa software updates on android (wa kwa ni Google wenyewe na Pixel zao).
Reference: https://www.androidpolice.com/2020/...vqu6z*_ga*YW1wLWRNNlBLVEpyaUlzSVNLT3phemNxdkE.
 
Duh, kwa hiyo mtu akikwapua simu ndo basi keshakimbia na mzigo wote
Hapana.

Kwanza kila kitu kipo encrypted.

Pili, nina servers na USB drives zenye zaidi ya 800 TB last time I counted (that is TB, not GB. Leo tu napata portable USB drive ya Seagate ya 5 TB mpya, wiki mbili zilizopita nilinunua mbili kama hizi, ni kama naongeza 5TB every week. Wiki hiyo hiyo niliongeza server ya 36 TB) zina data, backups, backups za backups na archives.

Kuna archives nyingine zipo kwenye Bluray discs.

Hivyo vi SD card vya 64, 128, 512 GB hata kuvihesabu naona karaha.

So. Mtu akikwapua atakuwa kakwapua simu/ hardware tu na kunipa sababu ya ku upgrade kwenda toleo jipya.

Kwenye data hatapata kitu.

Sasa mtu wa mafuriko ya data kama hivyo, simu ambayo haiwezi ku support SD card ya angalau 512 GB naona kama mapambo tu.
 
Nilijaribu li ipad kubwa lile la 12.9. Inches Kuna siku niliona lina software nzuri sana ya ku DJ.

Nikasema Android nishamaliza kila kitu. Ngoja nijaribu hii, nimeipenda ile software.

Nikajajibu.

Kwa jinsi collection yangu ilivyo kubwa, huwa natumia SD cards kama cassettes.

Basi nikawa naishia kupiga muziki wa kutoka internal drive tu. Sikuwa na option ya SD card.

Kikichoniokoa ni Spotify. Na baadaye hapa juzi mwishoni mwa June nilikuwa napiga mziki kwenye hiyo Software, nikaona message kwamba kuanzia July Spotify wanasimamisha integration with third party apps kama nilivyokuwa natumia.

Maana yake sikuweza ku DJ na Spotify tena.

Hapo ningekuwa na uwezo wa kutumia SD cards zangu ningetengeneza playlist kwenye folders, nika import, nika DJ kutoka SD card tu.

Sasa hivi nimelisahau tu mpaka nikampasia dogo mmoja analitumia.
 

800T errabytes[emoji15]. Wewe ni either muongo au gaidi. 800 TB unahifadhi nini?
 
Kama ni mtu wa fashion ni sawa ila kama ndo inakidhi mahitaji yake kwa nini anunue kitu ambacho hakihitaji?
kusingekuwa na documents leo, wala jail breaking, wala msingekuwa mnatumia na simu ndogo yenye line b.

angalia bidhaa zake za computer zinavyopendwa, si kwa sababu zina uhakika katika kazi pekee, lakini sababu pia amecha zijichanganye na bidhaa za kampuni nyingine.
 
"Hazina vitu vingi"

Vitu vingi kwako ni vipi?
 
800T errabytes[emoji15]. Wewe ni either muongo au gaidi. 800 TB unahifadhi nini?
Kwani ni ngumu mtu wa na 800TB ? Tatizo huanza kutaka kulinganisha watu na kile ulichonacho au kilicho kwenye uwezo wako. Mwamba huenda ameanza tunza vitu vyake since 2000 kwanini visifike huko 😀😀😀
 
Kwani ni ngumu mtu wa na 800TB ? Tatizo huanza kutaka kulinganisha watu na kile ulichonacho au kilicho kwenye uwezo wako. Mwamba huenda ameanza tunza vitu vyake since 2000 kwanini visifike huko [emoji3][emoji3][emoji3]

Haya bana. Mi nna TB mbili na nna vitu tangu 2000 . Sikatai mtu anaweza kumiliki TB 800 nimeuliza anaweka nini hizo hdds imagine mtu ana hard disk takribani 500 phyisically ana zi manage vipi?
Sometimes majitu yanajiongeleshaga humu bila kuchakata akili zao .
 
Subiri aje akujibu mkuu.. ila nachojua jua jamaa ni expert wa maswala ya encryption - cybersecurity na ni wa kitambo sana. huenda ana mengi zaidi huko.. aliyo hifadhi. Ila vizuri atakuja kukujibu mwenyewe 😀😀
 
Mwizi hana ishu na data, so it doesn’t matter kama data ipo encrypted au la yeye anachowaza ni kuformat
 
Subiri aje akujibu mkuu.. ila nachojua jua jamaa ni expert wa maswala ya encryption - cybersecurity na ni wa kitambo sana. huenda ana mengi zaidi huko.. aliyo hifadhi. Ila vizuri atakuja kukujibu mwenyewe [emoji3][emoji3]

Ohh kumbe. Labda amewekeza kwenye ma server kwa ajili ya wateja wa ma website au online storage. Nilishangaa kwamba ni yeye binafsi ana terrabyte zote izo kwa matumizi yake. Basi sawa
 
Kwanza hata kwa dawa siwezi kutumia iphone, ni za wadada, na chuo tulikuwa tunawaida , iphone disease
 
800T errabytes[emoji15]. Wewe ni either muongo au gaidi. 800 TB unahifadhi nini?
My life is like a movie to you.

Ndiyo maana nikiyaelezea unakuwa mgumu kuamini.

Na mimi nakueleza tu. Sina muda wa kuanza kukushawishi.

Kwa sababu, kama unashangaa 800TB, hata nikikutajia vitu ninavyofanya, most likely nitakuchanganya tu.

Hapo mwenyewe najiona bado sijafikisha Petabyte.

Unaelewa Petabyte ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…