[emoji23][emoji23]hili ni jambo la kijinga sana apple wamefanya ila niamini miaka miwili ijayo, sim zingine nazo zitaanza kuja na mabox madogo.
Only iPhone has the Balls to initiate such bold move
Hahaha! Hiyo ngumi ya koo. Atatamani arudi kwenye nyuzi zake aka edit🤣🤣🤣, maana hawa mid range android users ndio wanapiga kelele humu, wenye flagship hawawezi kushangaa haya mambo ya iphone.Samsung wameshaiga na hilo kama hujui,ishatangazwa kuwa na wao wataacha kutoa charger.Inaonyesha wewe sio mfuatiliaji umeamua tu kuongea vitu ambavyo hata huvijui. Source: Samsung to stop bundling chargers with phones next year, report says
hamna highend users humu sio kwa apple wala hao android.Hahaha! Hiyo ngumi ya koo. Atatamani arudi kwenye nyuzi zake aka edit[emoji1787][emoji1787][emoji1787], maana hawa mid range android users ndio wanapiga kelele humu, wenye flagship hawawezi kushangaa haya mambo ya iphone.
Mkuu iPhone 8 plus inaweza kunifaa kwa kuanzia?Tafuta hela daka iphone x mzee sio unalialia hakuna asiyependa kutumia iphone.
Mkuu iPhone 8 plus inaweza kunifaa kwa kuanzia?
Battery yake vipi kwa sisi tunaokesha online?
Shukrani sana kwa ushauri, nataka nichukue 8+ nianzie maishaIphone 8 plus ipo vzr sana hadi picha battery yake ni nzuri pia. Wanaosema iphone hazikai na chaji sio kweli mimi natumia now 12pro lakin naondoka na sim asubuh ikiwa 100% narud usiku ikiwa na chaji na data huwa naacha on
12pro sio rahisi kuonyesha udhaifu wa charge bado mapema sana.Iphone 8 plus ipo vzr sana hadi picha battery yake ni nzuri pia. Wanaosema iphone hazikai na chaji sio kweli mimi natumia now 12pro lakin naondoka na sim asubuh ikiwa 100% narud usiku ikiwa na chaji na data huwa naacha on
mimi nina 7plus onscreen ni masaa 6,kwahiyo hiyo 8plus pia sio mbaya.Mkuu iPhone 8 plus inaweza kunifaa kwa kuanzia?
Battery yake vipi kwa sisi tunaokesha online?
Bila kuzima data 8+ inaweza kumaliza 12hrs?mimi nina 7plus onscreen ni masaa 6,kwahiyo hiyo 8plus pia sio mbaya.
kama sio mkodoaji sana inafika.Bila kuzima data 8+ inaweza kumaliza 12hrs?
Siwezi kudokoa all the day maana kuna kazi zingine nakuwa nafanyakama sio mkodoaji sana inafika.
ila nakushauri kuzima data na kuwasha unapokuwa unaishika ili kupata matokeo mazuri zaidi.Siwezi kudokoa all the day maana kuna kazi zingine nakuwa nafanya
12pro sio rahisi kuonyesha udhaifu wa charge bado mapema sana.
kwa hiyo 8plus,itavumilika ila sio kwa mwenzo huu wa kirudi na charge jioni.
Shukrani sana kwa ushauri, nataka nichukue 8+ nianzie maisha
12pro sio rahisi kuonyesha udhaifu wa charge bado mapema sana.
kwa hiyo 8plus,itavumilika ila sio kwa mwenzo huu wa kirudi na charge jioni.
Usifananishe iPhone 11 pro na vitu vya kijingaI phone hata hii mpya iphone 11 por max haifui dafu kwa simu zaandroid kama Xiaomi Mi Note 10 Pro, one plus 8 , n.k.
mbona zenu wamatumbi hazipigi kinaa kama za akina mo sala[emoji23][emoji23][emoji23],au hamfuti camera??Usifananishe iPhone 11 pro na vitu vya kijingaView attachment 1659183
Hela ipo kiongozi.Kama una hela chukua iphone x tu coz bei hazina tofauti sana
I phone hata hii mpya iphone 11 por max haifui dafu kwa simu zaandroid kama Xiaomi Mi Note 10 Pro, one plus 8 , n.k.