mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
[emoji23][emoji23]hili ni jambo la kijinga sana apple wamefanya ila niamini miaka miwili ijayo, sim zingine nazo zitaanza kuja na mabox madogo.
Only iPhone has the Balls to initiate such bold move
ni ujinga mno.
sidhani kama kuna mpuuzi ataiga,sababu ni kwa mara ya kwanza apple wanashindwa kutetea maamuzi waliyochukua.
kwenye earphone jack walisema wanapunguza matundu ili kuongeza nafasi ya betry,sasa kwenye hili hata sababu yenyewe haieleweki.