iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

[emoji23][emoji23]hili ni jambo la kijinga sana apple wamefanya ila niamini miaka miwili ijayo, sim zingine nazo zitaanza kuja na mabox madogo.
Only iPhone has the Balls to initiate such bold move

ni ujinga mno.

sidhani kama kuna mpuuzi ataiga,sababu ni kwa mara ya kwanza apple wanashindwa kutetea maamuzi waliyochukua.

kwenye earphone jack walisema wanapunguza matundu ili kuongeza nafasi ya betry,sasa kwenye hili hata sababu yenyewe haieleweki.
 
Hahaha! Hiyo ngumi ya koo. Atatamani arudi kwenye nyuzi zake aka edit[emoji1787][emoji1787][emoji1787], maana hawa mid range android users ndio wanapiga kelele humu, wenye flagship hawawezi kushangaa haya mambo ya iphone.
hamna highend users humu sio kwa apple wala hao android.

labda muuzaji anayeshika simu kwa muda tu.
 
Mkuu iPhone 8 plus inaweza kunifaa kwa kuanzia?
Battery yake vipi kwa sisi tunaokesha online?

Iphone 8 plus ipo vzr sana hadi picha battery yake ni nzuri pia. Wanaosema iphone hazikai na chaji sio kweli mimi natumia now 12pro lakin naondoka na sim asubuh ikiwa 100% narud usiku ikiwa na chaji na data huwa naacha on
 
Shukrani sana kwa ushauri, nataka nichukue 8+ nianzie maisha
 
Iphone 8 plus ipo vzr sana hadi picha battery yake ni nzuri pia. Wanaosema iphone hazikai na chaji sio kweli mimi natumia now 12pro lakin naondoka na sim asubuh ikiwa 100% narud usiku ikiwa na chaji na data huwa naacha on
12pro sio rahisi kuonyesha udhaifu wa charge bado mapema sana.

kwa hiyo 8plus,itavumilika ila sio kwa mwenzo huu wa kirudi na charge jioni.
 
12pro sio rahisi kuonyesha udhaifu wa charge bado mapema sana.

kwa hiyo 8plus,itavumilika ila sio kwa mwenzo huu wa kirudi na charge jioni.

Before kuchukua 12pro nilikua na xmax inakaa na chaj balaaa aisee ni htr[emoji1316][emoji1316][emoji91][emoji91]
 
I phone hata hii mpya iphone 11 por max haifui dafu kwa simu zaandroid kama Xiaomi Mi Note 10 Pro, one plus 8 , n.k.
Usifananishe iPhone 11 pro na vitu vya kijinga
IMG_20201225_205608_490~2.jpg
 
Back
Top Bottom