Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
mbona zenu wamatumbi hazipigi kinaa kama za akina mo sala[emoji23][emoji23][emoji23],au hamfuti camera??View attachment 1659238
Hela ipo kiongozi.
Ushauri wako nauchukua
Asante sana
Hujakutana na Google Pixel weweIla sijawahi ona simu zinatoa picha nzuri kama iphone, kah yani ni balaa
pixel pia haidanganyi.Zinapiga mzee nikikuonesha picha zangu utasema nmeedit iphone camera yao ipo real na imetulia
iPhone kweli ni simu kali sana ila watumiaji wake wengi ni washamba wanaodhani kutumia iPhone kunawaweka kwenye daraja la juu!
Nakumbuka kisa kimoja mwaka 2019 nilikuwa Bar na washkaji zangu kadhaa, kati yetu hapo wawili walikuwa na iPhones, ghafla ukaanza ubishi wa simu hapo...wale jamaa wa iPhone walijitamba sana kuwa simu hizo hazitumiwi na wachovu kama sisi lazima uwe na pesa ya bundle n.k. ghafla si muhudumu akaleta Bill ikiwa inasoma 160k na kuendelea....hamtaamini wale jamaa wa iPhone hawakuwa hata na 20k kila mmoja mfukoni mwao ili hata wachangie bill.... So embarassing! Aibu yao niliiona mimi.....
Sio wote wenye iPhone wana maisha mazuri, zile simu zinapumbaza sana vijana....kuna wachache wanastahili kuzimiliki ila wengine ni mkumbo na kupeana stress tu

[emoji38][emoji38]Hahah simu yenyewe unakuta ya kuchekia instagram tu na kujiongezea mabili ya ku date na wanawake walioshoboka na iPhone [emoji23].
[emoji23][emoji23]hili ni jambo la kijinga sana apple wamefanya ila niamini miaka miwili ijayo, sim zingine nazo zitaanza kuja na mabox madogo.
Only iPhone has the Balls to initiate such bold move
Hahah simu yenyewe unakuta ya kuchekia instagram tu na kujiongezea mabili ya ku date na wanawake walioshoboka na iPhone [emoji23].
not all, some of them who make a great fuss just by owning iphone, more worse most of their phones are cheap and refurbished in china ghetosOkay hii naona kama iko offensive kwa [emoji520] users
Mangoma hayo nasikiliza offline na mavideo ninadownload ngoma yyte kwenye applemusic na spotifyView attachment 1659350
View attachment 1659351
Mkuu kuna utundu wa kufanya kuweza ku access hizi makitu free au ni lazima ulipie?
Trial ya miezi 3 imekwisha nasikilizia miziki kwenye Document app
ndio madhara ya watu wanakurupuka kununua iphones, huko ni pesa mbele, huku android tunapata burudani bureee ππLipia mzee uendelee kula mangoma, hakuna ujanja hapo ni kulipia 6900 only per month
Mkuu jibane bane hata siku kadhaa mfululizo ule mihogo ili ulipie hio app ya iphone ππ, Huku android hatuna habari za kulipia burudani ya mzikiMkuu kuna utundu wa kufanya kuweza ku access hizi makitu free au ni lazima ulipie?
Trial ya miezi 3 imekwisha nasikilizia miziki kwenye Document app
ndio madhara ya watu wanakurupuka kununua iphones, huko ni pesa mbele, huku android tunapata burudani bureee [emoji16][emoji16]
Mkuu jibane bane hata siku kadhaa mfululizo ule mihogo ili ulipie hio app ya iphone [emoji16][emoji16], Huku android hatuna habari za kulipia burudani ya mziki
hujui kitu mkuu, heri ukae kimya ππDunia inakoenda vya bure havitakwepo sahv hata android zile webs zilizokua unadownload free wanataka ulipie,