iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Hela ipo kiongozi.
Ushauri wako nauchukua
Asante sana

Chukua X ya 64gb inakutosha kama ni mtu wa mapicha na mavideos sana chukua 256gb. Kabla hujadaka njo nkupe hints za kujua kama iphone ni mpya au refurbished na chukua version ya UK/US. Nikupe na maujanja ya kustream ngoma kali na kudownload.
 
Mangoma hayo nasikiliza offline na mavideo ninadownload ngoma yyte kwenye applemusic na spotify
IMG_7875.jpg

IMG_7876.jpg
 
iPhone kweli ni simu kali sana ila watumiaji wake wengi ni washamba wanaodhani kutumia iPhone kunawaweka kwenye daraja la juu!

Nakumbuka kisa kimoja mwaka 2019 nilikuwa Bar na washkaji zangu kadhaa, kati yetu hapo wawili walikuwa na iPhones, ghafla ukaanza ubishi wa simu hapo...wale jamaa wa iPhone walijitamba sana kuwa simu hizo hazitumiwi na wachovu kama sisi lazima uwe na pesa ya bundle n.k. ghafla si muhudumu akaleta Bill ikiwa inasoma 160k na kuendelea....hamtaamini wale jamaa wa iPhone hawakuwa hata na 20k kila mmoja mfukoni mwao ili hata wachangie bill.... So embarassing! Aibu yao niliiona mimi.....

Sio wote wenye iPhone wana maisha mazuri, zile simu zinapumbaza sana vijana....kuna wachache wanastahili kuzimiliki ila wengine ni mkumbo na kupeana stress tu
 
Hapa mkuu ni maamuzi ya mtu sio kwamba kumiliki iphone ndo unahela hapana.. kuna watu wana tecno ila wanapesa. Ila kama una hela kwann usitafute simu kali??
 
iPhone kweli ni simu kali sana ila watumiaji wake wengi ni washamba wanaodhani kutumia iPhone kunawaweka kwenye daraja la juu!

Nakumbuka kisa kimoja mwaka 2019 nilikuwa Bar na washkaji zangu kadhaa, kati yetu hapo wawili walikuwa na iPhones, ghafla ukaanza ubishi wa simu hapo...wale jamaa wa iPhone walijitamba sana kuwa simu hizo hazitumiwi na wachovu kama sisi lazima uwe na pesa ya bundle n.k. ghafla si muhudumu akaleta Bill ikiwa inasoma 160k na kuendelea....hamtaamini wale jamaa wa iPhone hawakuwa hata na 20k kila mmoja mfukoni mwao ili hata wachangie bill.... So embarassing! Aibu yao niliiona mimi.....

Sio wote wenye iPhone wana maisha mazuri, zile simu zinapumbaza sana vijana....kuna wachache wanastahili kuzimiliki ila wengine ni mkumbo na kupeana stress tu

Hahah simu yenyewe unakuta ya kuchekia instagram tu na kujiongezea mabili ya ku date na wanawake walioshoboka na iPhone 😂.
 
[emoji23][emoji23]hili ni jambo la kijinga sana apple wamefanya ila niamini miaka miwili ijayo, sim zingine nazo zitaanza kuja na mabox madogo.
Only iPhone has the Balls to initiate such bold move

and they did it anyway, like they always do
Samsheeps zina follow[emoji38]
 
Mkuu kuna utundu wa kufanya kuweza ku access hizi makitu free au ni lazima ulipie?

Trial ya miezi 3 imekwisha nasikilizia miziki kwenye Document app

Lipia mzee uendelee kula mangoma, hakuna ujanja hapo ni kulipia 6900 only per month
 
Niko zangu oppo, tuna Jambo letu mkesha huu wa Mwaka mpya dodoma club 7
 
Lipia mzee uendelee kula mangoma, hakuna ujanja hapo ni kulipia 6900 only per month
ndio madhara ya watu wanakurupuka kununua iphones, huko ni pesa mbele, huku android tunapata burudani bureee 😁😁
Mkuu kuna utundu wa kufanya kuweza ku access hizi makitu free au ni lazima ulipie?

Trial ya miezi 3 imekwisha nasikilizia miziki kwenye Document app
Mkuu jibane bane hata siku kadhaa mfululizo ule mihogo ili ulipie hio app ya iphone 😁😁, Huku android hatuna habari za kulipia burudani ya mziki
 
ndio madhara ya watu wanakurupuka kununua iphones, huko ni pesa mbele, huku android tunapata burudani bureee [emoji16][emoji16]

Mkuu jibane bane hata siku kadhaa mfululizo ule mihogo ili ulipie hio app ya iphone [emoji16][emoji16], Huku android hatuna habari za kulipia burudani ya mziki

Dunia inakoenda vya bure havitakwepo sahv hata android zile webs zilizokua unadownload free wanataka ulipie,
 
hujui kitu mkuu, heri ukae kimya 😁😁

webs kibao tu bado tunashusha vitu free, hakuna kulipa 😋😋, Sikuhizi hata madogo wa miaka 13 wa huko ulaya wanajua kutengeneza apps na wanatusaidia sana kuchakachua apps za kulipia tunazidownload na kuzitumia bila tatizo lolote.

Kazi ipo kwa watumiaji wa iphone maana huko wanawakamua kisawasawa na kubana mbavu wapenda vya bure, ni lazima ulipie tu hakuna namna 😂😂😂
 
Back
Top Bottom