iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Kuna watu iPhone ni mkombozi wao kwa ulinzi wa data. Kama unaona iPhone inakubana sana basi sio level yako maana kila kitu ni ghali na very limited.
 
Watumiaji wa iphone muda mwingi simu zao hawaweki mfukoni wanazishika shika ili watu wazione yaaani ni kama wamekaa kiumbea umbea. Na wengi wao wananunua za bei rahisi kama alivyosema mchangiaji hapo juu laki 3 used.
 
ukisema haya wanaishia kuja na hoja nyepesi eti tatizo pesa huna.
naishiaga kucheka sana.πŸ˜€πŸ˜€
yaani kitu nitolee hela na bado unanilimit kwenye matumizi.
ukiondoa ulinzi iPhone ni simu za kawaida tu.
Hakuna ulinzi mtandaoni. Hii ni hoja inayotumiwa na mazwazwa ambao hawaelewi kitu. Iphone mara kibao hackers wanaiba taarifa za celebrities.

Eti security.

Google Reveals How To Hack An Apple iPhone Within Minutes
 
Nimekaa na Tecno yangu L8 kwa miaka 3 bila shida yoyote. Kwa sasa nina infinix inapiga kazi tangu November mwaka Jana.
Acha hizo kelele mkuu, Android ni fresh
 
Tundu la earphones lipi ilo unalolizungumzia? nmeandika huku nachungulia simu yanguπŸ˜‚πŸ˜‚
kuhusu nyimbo tunadownload kirahisi tu mbona audiomack na bolt zipo kwa ajili yetu ayo mengine sawa ila tumeridhika tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usilazimishe kukaa na simu kwa miaka mitano, hizi ni simu zinazovutia ukiwa angalau na i phone toleo la miaka angalau miwili iliyopita.

I phone wameacha kuweka matundu ya head phones tangu mwaka 2015.

Kama una tundu la earphone basi simu yako ni ya zamani sana itakuwa hata ya mwaka 2014, hio itakuwa mjanja kakuuzia alipata mnyonge wa kumuuzia kwa bei chee yeye kajiongeza kununua matoleo mapya

Wenzako wanaingia toleo la 12 saizi, Tafuta milioni 2 uchukue hata iphone 11 maana huku kwenye i phone hakunaga mbadala.😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…