PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Kanunue Huawei P40pro,Ila sijawahi ona simu zinatoa picha nzuri kama iphone, kah yani ni balaa
More than a camera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanunue Huawei P40pro,Ila sijawahi ona simu zinatoa picha nzuri kama iphone, kah yani ni balaa
Hii dharau sasa!Watumiaji wengi wa iPhone ni wale wafuata mkumbo. Pia ni wambeambea sana alafu ushamba mwingi.
Sio wote ila ni zaidi ya 75%ndivyo walivyo
Nina Huawei zinajitahidi sana ila bado hazifikii iPhone kwa picha weeeeKanunue Huawei P40pro,
More than a camera
Hata UK mzee Huawei zipo na soko sana, wapo vizuri yani ni simu bomba sana, pacha kweli unajua simu,Hizi ndio simu USA wenyewe mpaka wamepagawa na hii kampuni
Ila IPhone picha banah hatari
I phone hata hii mpya iphone 11 por max haifui dafu kwa simu zaandroid kama Xiaomi Mi Note 10 Pro, one plus 8 , n.k.Ila sijawahi ona simu zinatoa picha nzuri kama iphone, kah yani ni balaa
Labda sijawahi kuzitumia, kama unayo hapo hebu piga picha upload picha nioneI phone hata hii mpya iphone 11 por max haifui dafu kwa wajomba zake kina Xiaomi Mi Note 10 Pro, "one plus 8 , n.k.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msemo wa kijinga na wa hovyo kuwahi kutokea
Nshomile wewe wala hutusumbuiI phone sio level yako broo
Mzee umeshtua nini?Hivyo vyote ulivyosema matumia Iphone a navifanya?
Wewe zem upon addicted na tecno.
Huwa wanajiona kama ndio walio itengeneza....Daaa aisee ukwel mtupu ila subiri apple lover waje na povu
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hakuna ulinzi mtandaoni. Hii ni hoja inayotumiwa na mazwazwa ambao hawaelewi kitu. Iphone mara kibao hackers wanaiba taarifa za celebrities.ukisema haya wanaishia kuja na hoja nyepesi eti tatizo pesa huna.
naishiaga kucheka sana.😀😀
yaani kitu nitolee hela na bado unanilimit kwenye matumizi.
ukiondoa ulinzi iPhone ni simu za kawaida tu.
Ni msemo wa mazwazwa na mataahira. Eti usitufokee, piga spana. Naiona sana twitter. Ni mataahira tu hao.Msemo wa kijinga na wa hovyo kuwahi kutokea
Nimekaa na Tecno yangu L8 kwa miaka 3 bila shida yoyote. Kwa sasa nina infinix inapiga kazi tangu November mwaka Jana.Natumia iPhone
Nyimbo nadownload vizuri tu
Radio ndo hivyo Online (Tunnel In)
Ieleweke kuwa huwezi kumiliki hii simu kama unakuwa na bando la kubahatisha. [emoji23]
Vitu vingi ni Online na lazima utumie bando[emoji41] nyie wenye bando za bure za Social network huu mziki wa kumiliki iPhone hamuwezi.
Endeleeni kumiliki hizo simu zenu za kutumia miezi mitatu zinaanza matatizo, mara Camera haipigi, mara inaleta mistari kwenye Kioo [emoji38] matatizo kibao.
Usilazimishe kukaa na simu kwa miaka mitano, hizi ni simu zinazovutia ukiwa angalau na i phone toleo la miaka angalau miwili iliyopita.Tundu la earphones lipi ilo unalolizungumzia? nmeandika huku nachungulia simu yangu😂😂
kuhusu nyimbo tunadownload kirahisi tu mbona audiomack na bolt zipo kwa ajili yetu ayo mengine sawa ila tumeridhika tuu 😂😂😂