1. Hutaweza kusikiliza radio bila bando
NI KWELI...
3. Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo
KUNA EARPHONES ZAKE BOSS....PIA KUNA IPHONES ZITUMIAZO TUNDU LA KAWAIDA...KUANZIA IPHONE 7 NDO HAKUNA EARPHONES JACK
3. Andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.
ZIPO ZITUMIAZO LINE MBILI...SO NI WEWE TU MKUU MAAMUZI YAKO KUNUNUA YA LINE MOJA AU MBILI...PIA KUMBUKA KUNA ANDROIDS ZINA LINE MOJA BOSS...TENA UKIKUTA ANDROID INA LINE MOJA ANDROID USERS WANASHAWISHIKA NA KUAMINI NI ORIGINAL
4. Kudownload nyimbo hata humu jamiifroums ama mtandaoni ni ishu nzito
HAPANA KUDOWNLOAD NYIMBO INAWEZEKANA MKUU.....(movies,videos,audios)
5. Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu.
HAPANA NI RAHISI TU BOSS...UKIWA NA ITUNES AU 3U TOOLS NI RAHISI
6. Apps kibao zipo android kuliko iphone
YES NI KWELI HAUJAKOSEA....LAKINI UKI JAILBREAK UTAPATA VYOTE UTAKAVYO....JAILBREAKING NI KAMA ROOTING KWENYE ANDROID...LAKINI PIA INAWEZEKANA BILA HATA KUJAILBREAK KUNA APP UNAIONGEZA INAPLAY ROLE YA APP STORE UNAIDOWNLOAD KWA SAFARI BOSS
7. Non restricted access ipo kwa android kwa sababu unaweza ku root ukafanya vingi vya ziada, Kwa iphone hapa umebanwa hutaweza kabisa
SIO KWELI...INAWEZEKANA SEMA KWENYE IPHONES INAITWA JAILBREAKING
8. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv
KWA REMOTE ZA KUDOWNLOAD INAWEZEKANA BOSS...LAKINI SIHISI KAMA NI HOJA KUBWA KATIKA MATUMIZI YA SIMU
9. Android utaweza kuback up vitu vyako kwenye memory card na pia unaweza kubadili battery kwa wepesi bila hata kwenda kwa fundi, lwa iphone hizi feautures sahau.
KUBADILI BATTERY HATA KWENYE ANDROID KAMA HAUPO FAMILIAR NA MAMBO ZA UFUNDI JAPO KIDOGO HAUTAWEZA....LABDA KWA ANDROID INAYOTUMIA BATTERY YA KUCHOMEKA NA KUCHOMOA....LAKINI KWA BUILT IN BATTERIES LAZIMA UWE NA KAUJUZI KIDOGO MKUU...HIZO NI KWA SIMU ZOTE SIO ANDROID WALA IPHONES.....ISSUE YA DATA BACKUPS SIMPLE TU KWENYE ICLOUD YAKO KUNA OPTION YA KUSAVE DATA ZAKO AUTOMATIC....PIA KUNA STORAGE BACKUP ZINAUZWA (online store) BEI CHEE TU NI OFFICIAL FROM APPLE SERVER
10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe
NI UZOEFU TU INAWEZEKANA MKUU....PIA RINGTONE SIHISI KAMA NI HOJA YA MTU KUTOKUIPENDA SIMU BOSS
11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.
NI KWELI LAKINI KUMBUKA SIO ANDROIDS ZOTE BOSS
12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni
NI KWELI BOSS...LAKINI SIHISI KAMA KUNA TATIZO HAPA
13. huku andoid kuna feauture ya multiple user account, naweza nikatengeneza user yangu na usr ya mtoto, mtoto akiomba simu naweka user yake hataona chochote cha kwenye acxount yangu zaidi ya ishu zake kama games na cartoon, huko i phone inabidi mtoto asimamiwe anapotumia sim asije kwenda kwenye vitu vyako vya kiutu uzima
SABABU YA KUITA I PHONE MAANA YAKE NI YANGU (single user multitasking) LENGO LAO KUBWA NI SIMU MOJA ITUMIWE NA MTU MMOJA TU ....(ndo maana ikaitwa “I”)
HIO FEATURE UNAYOISEMA NIMEIONA KWENYE SAMSUNGS DEVICES...(sio account as such) NI APP TU INAITWA KIDS APPS HAPO UNAWEZA KUTENGENEZA INTERFACE YA KITOTO KWA KUIWEKEA PASSWORDS AMBAPO UKIWA KWENYE ILE INTERFACE HAUWEZI TOKA MPAKA UWEKE PASSWORDS LAKINI KAMA MTOTO NI MTUNDU ANAWEZA TU TOKA....SIO KWAMBA NI ACCOUNT AMBAYO UKIWASHA SIMU UNACHOOSE ACCOUNT IPI IRUN DEVICE HAPANA NI APPLICATION TU....KWENYE IPHONE PIA APP INAWEZEKANA IKAWEPO TOFAUTI NI KUWA KWENYE SAMSUNG INAKUJA NA SIMU HIO APP PIA UNAWEZA IFUTA TU UKIAMUA
14. Huwezi kufanya vitu vingi kwa mpigo (multi tasking )kwenye iphone, Huku android unaweza ukawa unaandika post huku jamii forums ukarudi kwenye kubadili muziki na ukarudi jamiiforums bila kuanza upya
HAPANA SIO KWELI BOSS INAWEZEKANA.....(iPhone pia ni multitasking boss sio single task)PIA KWA KUTUMIA IOS 14...FEATURES NYINGI SANA ZIMEONGEZEKA
NB:UKIONA KITU HAKIENDANI NA MAHITAJI
YAKO JIBU NI DOGOTU....HAKIKUTENGENEZWA
KWA AJILI YAKO...NDO MAANA KUNA OPTIONS
BOSS (TAFUTA KINACHOMEET MAHITAJI YAKO
) IPHONES NI KWAAJILI YA WATU WASIO NA
MAMBO MENGII KWENYE MATUMIZI YA SIMU
KAMA HAIKUFAI ANDROID WAPO KWAAJILI
YAKO