Ha ha ha hah [emoji23] [emoji23] user wa kawaida unawajua lakini?
Duh, tayari umeshaanza kuni insult kitu ambacho sikutegemea, nilijua tutaenda hoja kwa hoja
Naona umekomaa na iPhone 6 tu, hujajibu hoja yangu, ni OEM gani android anatoa support at least hata miaka minne tu kwa simu hata hizi flagship?
Nimekuuliza vipi kuhusu users wa kawaida ambao hata hawajui nini maana ya ROM, achana na makopo ya chooni
Ha ha ha ha haaaah, [emoji23][emoji23] kumbe basi namiliki kopo la chooni kama unavyooita wewe? nilikuwa sijui
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani nashindwa kukuelewa mkuu, mbona umepanic hivi, sielewi unasimamia wapi, namiliki iPhone au similiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimegundua bila kuni insult huwezi kujenga hoja ya maana, anyway simama kwenye mada achana na masuruali
Hili ndilo tatizo la kukariri, unataka kuwaambiaje watumiaji wenzio wa simu za Android kama Samsung ambao wanatumia simu za laki mbili ilihali kuna simu kama Galaxy Fold inayouzwa zaidi ya 3M? Kama unanunua simu kwa fashion basi usidhani kila mtu mwenye simu kanunua kuendana na fasion, mimi binafsi nanunua simu au kitu chochote kulingana na mahitaji yangu, hii iPhone 6S niliyonayo inakidhi mahitaji yangu wala sihitaji simu ya 3M na mi siyo mtu wa fashion
Ukiniquote hii comment ukajibu kwa hoja zenye maana tutakwenda hoja kwa hoja, vinginevyo kwaheri
Nadhan point ni kuwa android users hawaweki simu zao kwa muda mrefu zaidi ya miaka mi 3. Android phones are getting cheaper every year and better. So hata OEMs hawahangaiki na ku support simu miaka zaid ya mi 3 sababu percentage ya wanaokua bado wanazitumia ni ndogo sana.
Kwa mfano galaxy s8 ilikua ni simu gatari sana ilivyotoka na ilikua inauzwa almost 2M. Miaka imeenda now hyo simu tayari inapitwa mambo mengi sana na Midrange phones kma Galaxy A50, A51, A70, Xiaomi redmi note 9 pro, nk ambazo brand new ni sawa na s8 refurbished dukani. Ni wachache sana watakao chagua kununua hyo s8 compared to other alternatives brand new for about the same price.
Kwa iPhones yaan ni matoleo machache tu every year na tofauti ya bei kati ya hayo matoleo ni ndogo sana. Mtu akiangalia kununua iPhone 7 plus na iPhone 11 anaona bora achukue tu iPhone 7 sababu hamna brand new alternative iPhone kwa bei ya iPhone 7 refurbished.
Android phones get cheaper every year (ukiachana na huyu mpumbav samsung aliyeamua kupandisha bei ya flagship zake mwaka huu na kuzitoa features kma hi note 20. Takataka kabisa) while still getting better. Mtu haoni umehimu wa kuweka simu lake la zamani wakat mpya zimetoka na bei ndogo kuliko aliyonunulia yake miaka hiyo na zina features nyingi nzuri zaidi.
Sema tunapoenda huku mbeleni android versions hazitakua na maana sana. Sababu Google ameamua kufanya security updates kuwa modular na kuweza kuwa installed kwenye simu zote bila OEM kuhusika (Google Project Mailine) na pia Google play services inaleta features mpya kila mara hata kwa simu hata za zamani.
Mfano:
1. COVID exposure notifications zimeletwa bila kuhitaji version update yoyote wakati on iOS walihitaji version update nzima
2. Nearby share (mbadala native wa Airdrop kwa simu za android) inaletwa kwa kupitia Google play services(GMS) kwa simu zote kuanzia android 6+
3. Bedtime routines imekuja pia kupita GMS
4. Earthquake alerts
5. Android emergency location service (kwa baadhi ya simu ukipiga emergency number kama 911 itakuonesha na kuwatumia location yako bila wewe kuangalia)
Hzo ni baadhi tu ambazo zimekuja bila hata version update yoyote kutoka kwa OEM. Straight from Google. Tunakoenda huko version updates hazitakua na maana tena kma ilivyo windows 10 sasahv.
Nadhani tunaweza jadiliana vizuri tu bila kutukanana.