iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Kwani ni ngumu mtu wa na 800TB ? Tatizo huanza kutaka kulinganisha watu na kile ulichonacho au kilicho kwenye uwezo wako. Mwamba huenda ameanza tunza vitu vyake since 2000 kwanini visifike huko [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu kama ulikuwapo.

Nimeanza around that time.

Yahoo walipofunga Geocities tume i backup karibu yote. Pages, midi files, rings, the works.

Huyo anayeshangaa 800TB anaelewa hata Geocities ni nini?

Pia, ukiwa na copies tatu za kila kitu kutokana na backups that's not even 800TB of data, that is 800TB divided by 3 in terms of data, residing in 800TB drives.

Plus sijajaza zote.

Kuna watu wanafikiri kila mtu anaishi kama wao.
 
Haya bana. Mi nna TB mbili na nna vitu tangu 2000 . Sikatai mtu anaweza kumiliki TB 800 nimeuliza anaweka nini hizo hdds imagine mtu ana hard disk takribani 500 phyisically ana zi manage vipi?
Sometimes majitu yanajiongeleshaga humu bila kuchakata akili zao .View attachment 1535696
Kwa hesqbu zako ushaona 800TB ni lazima ziwe kwenye 500 disks?

Nina server moja Dell R30XD lina 12 bays.

Kila bay ina drive ya 12 TB.

12 x 12 =144.

Hizo 12 drives tu kwenye server moja zina 144 TB. Na servers kama hizo ninazo tano. Hapo tu nishapita 500TB by far. Bado vi external drives ambavyo havina idadi, 12 TB here, 12 TB there. 10 TB here, 10 TB there.

Nafanyia nini? Na backup archives muhimu za kwenye internet. Kuna archives nyingine unaweza kukuta leo zipo kesho hazipo. Na backup 4K videos za a small movie production company na 4K family videos zangu mwenyewe. For years and years. Every graduation, birthday party, kids games, et cetera.
 
Anaweza kuiba, mi nazungumzia data kwenye hiyo simu iliyoibiwa sio simu kama simu
Sasa kama anaweza kuiba iPhone na Android pia, kuiba si issue. Kwa sababu hakuleti tofauti. Zote zinaibika tu.

Sawa?
 
Sasa kama anaweza kuiba iPhone na Android pia, kuiba si issue. Kwa sababu hakuleti tofauti. Zote zinaibika tu.

Sawa?

Labda tunashindwa kuelewana, why ubebe data nyingi hivyo kwenye simu, why not laptop!?
 
Labda tunashindwa kuelewana, why ubebe data nyingi hivyo kwenye simu, why not laptop!?
Kwa sababu simu ni ndogo na naweza kuwa nayo sehemu nyingi ambayo laptop siwezi kuwa nayo.

Naweza kuwa sehemu laptop haiwezi kupata internet, simu ina internet, mtu anahitaji kitu fulani, naweza kumtumia kutoka kwenye simu. Mara nyingine namaliza kazi kwenye simu tu hata laptop situmii.

Huu ndiyo muelekeo wa simu za siku hizi. Ku replace laptop.

Marehemu Ali Mufuruki aliwahi kuongea vizuri sana kuelezea kwamba siku hizi simu yake ndiyo ofisi yake, anamaliza kila kitu kwenye simu yake hahitaji laptop for the most part.
 
Mh! Simu ili replace laptop!? Are you kidding me!?
 
Mh! Simu ili replace laptop!? Are you kidding me!?
Inategemea na kazi, sasa mtu kama marehemu Ali Mufuruki aliweza kufanya kazi zake zote vizuri zaidi na simu kiasi hakuhitaji laptop.

Mfano mzuri nimekupa ni wa matumizi ya internet.

Kuwa na connection ya internet kwenye simu ni rahisi, kwa gharama ndogo na convenient zaidi kuliko kwenye laptop.

Sasa kama nina document naweza ku email kutoka kwenye simu nikamaliza kazi zangu, hapo nitahitaji laptop kwa kazi hiyo? Laptop ambayo pengine aghalabu haina internet connection nikiwa barabarani?

Hapo simu si tu ina i replace laptop kwa muktadha wa kazi hiyo ya kutuma document, simu imekuwa bora zaidi ya laptop.

Kwa sababu.

1. Ni ndogo. I don't need to lug a bulky laptop with me everywhere.
2.It has internet connection.

Na kama una laptop yenye disk space chini ya GB 640, tayari simu yangu imeshakupita hata kwenye storage space.
 
Sikujua kuwa documents zinahitaji a lot of terabytes hivyo
 
Kwenye suala la bei ndugu mjumbe umeongopa, simu mpya ya samsung ( s10+ na note 10+ ) mbona bei sawa na iPhone 11!

Au unaongelea simu mpya za android za itel?
 
Kuna iPhone inayofika bei hiyo?
 
Attachments

  • Screenshot_2020-08-13-20-31-01-023_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
    Screenshot_2020-08-13-20-31-01-023_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
    107.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom