Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,141
- 3,838
Kwani iPhone mwizi hawezi kuiba?
Anaweza kuiba, mi nazungumzia data kwenye hiyo simu iliyoibiwa sio simu kama simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani iPhone mwizi hawezi kuiba?
Mkuu kama ulikuwapo.Kwani ni ngumu mtu wa na 800TB ? Tatizo huanza kutaka kulinganisha watu na kile ulichonacho au kilicho kwenye uwezo wako. Mwamba huenda ameanza tunza vitu vyake since 2000 kwanini visifike huko [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hesqbu zako ushaona 800TB ni lazima ziwe kwenye 500 disks?Haya bana. Mi nna TB mbili na nna vitu tangu 2000 . Sikatai mtu anaweza kumiliki TB 800 nimeuliza anaweka nini hizo hdds imagine mtu ana hard disk takribani 500 phyisically ana zi manage vipi?
Sometimes majitu yanajiongeleshaga humu bila kuchakata akili zao .View attachment 1535696
Sasa kama anaweza kuiba iPhone na Android pia, kuiba si issue. Kwa sababu hakuleti tofauti. Zote zinaibika tu.Anaweza kuiba, mi nazungumzia data kwenye hiyo simu iliyoibiwa sio simu kama simu
Sasa kama anaweza kuiba iPhone na Android pia, kuiba si issue. Kwa sababu hakuleti tofauti. Zote zinaibika tu.
Sawa?
Kwa sababu simu ni ndogo na naweza kuwa nayo sehemu nyingi ambayo laptop siwezi kuwa nayo.Labda tunashindwa kuelewana, why ubebe data nyingi hivyo kwenye simu, why not laptop!?
Hata Oppo (A9 2020) nimeona picha zake nazo ni nzuri.Labda sijawahi kuzitumia, kama unayo hapo hebu piga picha upload picha nione
Acha uwack wewe..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]toleo la 2014 tulia boss kma android inakishinda iphone utaiwez kwel
Kwa sababu simu ni ndogo na naweza kuwa nayo sehemu nyingi ambayo laptop siwezi kuwa nayo.
Naweza kuwa sehemu laptop haiwezi kupata internet, simu ina internet, mtu anahitaji kitu fulani, naweza kumtumia kutoka kwenye simu. Mara nyingine namaliza kazi kwenye simu tu hata laptop situmii.
Huu ndiyo muelekeo wa simu za siku hizi. Ku replace laptop.
Marehemu Ali Mufuruki aliwahi kuongea vizuri sana kuelezea kwamba siku hizi simu yake ndiyo ofisi yake, anamaliza kila kitu kwenye simu yake hahitaji laptop for the most part.
Inategemea na kazi, sasa mtu kama marehemu Ali Mufuruki aliweza kufanya kazi zake zote vizuri zaidi na simu kiasi hakuhitaji laptop.Mh! Simu ili replace laptop!? Are you kidding me!?
Inategemea na kazi, sasa mtu kama marehemu Ali Mufuruki aliweza kufanya kazi zake zote vizuri zaidi na simu kiasi hakuhitaji laptop.
Mfano mzuri nimekupa ni wa matumizi ya internet.
Kuwa na connection ya internet kwenye simu ni rahisi, kwa gharama ndogo na convenient zaidi kuliko kwenye laptop.
Sasa kama nina document naweza ku email kutoka kwenye simu nikamaliza kazi zangu, hapo nitahitaji laptop kwa kazi hiyo? Laptop ambayo pengine aghalabu haina internet connection nikiwa barabarani?
Hapo simu si tu ina i replace laptop kwa muktadha wa kazi hiyo ya kutuma document, simu imekuwa bora zaidi ya laptop.
Kwa sababu.
1. Ni ndogo. I don't need to lug a bulky laptop with me everywhere.
2.It has internet connection.
Na kama una laptop yenye disk space chini ya GB 640, tayari simu yangu imeshakupita hata kwenye storage space.
Kwenye simu wapi nimeongelea terabytes?Sikujua kuwa documents zinahitaji a lot of terabytes hivyo
Mbona ni jambo la kawaida kwa simu kutoa special edition ambazo sio mass produced? Na bei zao ni kubwa kuliko hata iphones.Kuna iPhone inayofika bei hiyo?
Unasema hivyo kwani tulilala wote?
Ila sijawahi ona simu zinatoa picha nzuri kama iphone, kah yani ni balaa