iPhone X yaongoza kwa mauzo duniani

iPhone X yaongoza kwa mauzo duniani

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
sim+pic.jpg

iPhone X
iPhone X ndiyo simu iliyouzwa zaidi kwa mwaka huu, lakini katika rekodi za dunia zipo simu ambazo zimewahi kununuliwa kwa wingi zaidi.

Hii hapa chini ni orodha ya simu zilizowahi kununuliwa kwa wingi zaidi:

· Nokia 1208- Nakala milioni 100

· Nokia 3010- Nakala milioni 126

· Motorola RAZR- Nakala milioni 130

· Nokia 1600- Nakala 135

· Nokia 2600 - Nakala milioni 135

· Samsung EII00- Nakala milioni 150

· Nokia 6600- Nakala milioni 150

· Nokia 5230 – Nakala milioni 150

· Nokia 3210- Nakala milioni 150

· Nokia 1110- Nakala milioni 250

MCL
 
Wacha iuze tu aisee hii simu ni kiboko,ila screen ikipasuka nadhani ndio maumivu yatakapoanza.
 
Attachments

  • IMG_1517.JPG
    IMG_1517.JPG
    108.4 KB · Views: 123
Kioo sh ngap

sijui kwa kweli ila lazima kitakuwa mkasi tu,kioo chake ni newest tech on th markert OLED,sasa kama simu inauzwa milioni 3 kasoro nadhani unaweza pata picha kioo kubadili kitagharimu kiasi gani
 
Mkuu naona ndo unayoitumia hapo..hongera

shukrani mkuu,hii kitu ina real value for money.yaani jamiiforums naienjoy vyema sana sasa hivi.na charge yake ineongezwa uwezo wa kulast masaa mawili zaidi ya iphone 7
 
shukrani mkuu,hii kitu ina real value for money.yaani jamiiforums naienjoy vyema sana sasa hivi.na charge yake ineongezwa uwezo wa kulast masaa mawili zaidi ya iphone 7
umenunua ngapi mkuu exactly??
 
Rest in peace Steve Jobs, the man was futuristic , angekuwepo leo labda iPhone zingekuwa zinakaa na chaji mwaka mzima

very true. Huyu ceo mpya wa apple sijui anawaza nini kuhusu battery za iphone. yani anaweka vitu vya gharama kwenye simu kila kukicha alafu battery kama haioni vile dah. Wanapitwa hata na infinix. uzuri wa steve alikuwa hatoi new product bila kuangalia mahitaji muhimu ya watu, sasa huyu boya mpya kaingia katuondolea earphone port mara kaondoa home button then battery anagusa kidogo tu
 
sijui kwa kweli ila lazima kitakuwa mkasi tu,kioo chake ni newest tech on th markert OLED,sasa kama simu inauzwa milioni 3 kasoro nadhani unaweza pata picha kioo kubadili kitagharimu kiasi gani
Asante
Mkuu
 
very true. Huyu ceo mpya wa apple sijui anawaza nini kuhusu battery za iphone. yani anaweka vitu vya gharama kwenye simu kila kukicha alafu battery kama haioni vile dah. Wanapitwa hata na infinix. uzuri wa steve alikuwa hatoi new product bila kuangalia mahitaji muhimu ya watu, sasa huyu boya mpya kaingia katuondolea earphone port mara kaondoa home button then battery anagusa kidogo tu
Kweli mkuu anafanya mabadiliko madogo ambayo sidhani kama yana umuhimu sana.
 
Back
Top Bottom