iPhone X yaongoza kwa mauzo duniani

iPhone X yaongoza kwa mauzo duniani

Halafu ulizia kwa Tanzania tu zimeuzwa copy ngapi, you'll be shocked hata copy 5,000, yaani hakuna watu 5,000 wenye hiyo iPhone X.

Nadhani Watumiaji Wote Wa IPhone Hawafiki 5000, IPhone X Sifikirii Kama Zinafika Hata 500 Hapa Tanzania [emoji1241]
 
Kila mtu ni mkuu
Hicho ni cheo cha heshima hapa JF,kwa kuwa sisi ni wanafamilia na tunaishi kwa kuheshimiana basi tunaanza na neno 'Mkuu'
Ni kama vile unavyosema "Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa,Mheshimiwa Mbunge,Baba Askofu,Baba Mchungaji,Ndugu Naibu Waziri n.k"
TANBIHI:Jamii yoyote ya watu waliostaarabika huwa inakuwa na lugha yake au namna ya kuitumia lugha vise Verser is true!
 
hivi Tanzania kuna mtu anaetumia onePlus 5/onePlus 6 kweli!!![emoji3][emoji3][emoji3]
onePlus%205.jpg
 
Hio one plus 6 haina hata mwezi,kwa fundi gani huyo simu hii ishapelekwa??
Acha ubishi, hap kariakoooo mizigo daily inashuka, wewe haupo kwenye hiyo industry. Tum number zako nikupigie picha ya mtej nikutumie
 
Back
Top Bottom