Naona iPhone 6s plus na Samsung S7 edge plus zimefika laki 7 nataka ninunue moja wapo ala sijajua nichukue Ipi. Maana design na battery ya sumsung vinanirusha roho pamoja na IP 68. Lakini naipenda IOS kwa performance yake
Siku wakiongeza uwezo kwenye battery hapo ndo nitamiliki izo simu, Samsung niliwachoka upande wa battery nikawatosa nikaona bora niende techno phantom 6 plus. Siwazii kuhusu battery ni mwendo mdundo biashara ya kutembea na charger kama mtumwa imebaki history
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.