Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Kioo sh ngapWacha iuze tu aisee hii simu ni kiboko,ila screen ikipasuka nadhani ndio maumivu yatakapoanzaView attachment 798819
Ukiwaza ajali huwezi kununua gari mkuuWacha iuze tu aisee hii simu ni kiboko,ila screen ikipasuka nadhani ndio maumivu yatakapoanzaView attachment 798819
Ukiwaza ajali huwezi kununua gari mkuu
Kioo sh ngap
Mkuu naona ndo unayoitumia hapo..hongeraWacha iuze tu aisee hii simu ni kiboko,ila screen ikipasuka nadhani ndio maumivu yatakapoanzaView attachment 798819
Mkuu naona ndo unayoitumia hapo..hongera
umenunua ngapi mkuu exactly??shukrani mkuu,hii kitu ina real value for money.yaani jamiiforums naienjoy vyema sana sasa hivi.na charge yake ineongezwa uwezo wa kulast masaa mawili zaidi ya iphone 7
Rest in peace Steve Jobs, the man was futuristic , angekuwepo leo labda iPhone zingekuwa zinakaa na chaji mwaka mzima
Hongera mkuuWacha iuze tu aisee hii simu ni kiboko,ila screen ikipasuka nadhani ndio maumivu yatakapoanzaView attachment 798819
umenunua ngapi mkuu exactly??
Asantesijui kwa kweli ila lazima kitakuwa mkasi tu,kioo chake ni newest tech on th markert OLED,sasa kama simu inauzwa milioni 3 kasoro nadhani unaweza pata picha kioo kubadili kitagharimu kiasi gani
Aisee big up..kama mtu una uwezo sio mbaya kumiliki hiki chumanimeiokota dubai kwa aed 4400 ambayo ni kama 2.8 ya madafu
Aisee big up..kama mtu una uwezo sio mbaya kumiliki hiki chuma
umenunua ngapi mkuu exactly??
Kweli mkuu anafanya mabadiliko madogo ambayo sidhani kama yana umuhimu sana.very true. Huyu ceo mpya wa apple sijui anawaza nini kuhusu battery za iphone. yani anaweka vitu vya gharama kwenye simu kila kukicha alafu battery kama haioni vile dah. Wanapitwa hata na infinix. uzuri wa steve alikuwa hatoi new product bila kuangalia mahitaji muhimu ya watu, sasa huyu boya mpya kaingia katuondolea earphone port mara kaondoa home button then battery anagusa kidogo tu