Halafu ulizia kwa Tanzania tu zimeuzwa copy ngapi, you'll be shocked hata copy 5,000, yaani hakuna watu 5,000 wenye hiyo iPhone X.
Hicho ni cheo cha heshima hapa JF,kwa kuwa sisi ni wanafamilia na tunaishi kwa kuheshimiana basi tunaanza na neno 'Mkuu'Kila mtu ni mkuu
Woyooooo......line mbili kiroho safi na chargr unasahau mara ya mwisho umecharge saa ngapiWanangu wa tecno pigaaaaaaa kelelelelele
OyoooooooWanangu wa tecno pigaaaaaaa kelelelelele
***** hahahaWanangu wa tecno pigaaaaaaa kelelelelele
Wanaweza kuwepo ila wanaweza wasizidi 50hivi Tanzania kuna mtu anaetumia onePlus 5/onePlus 6 kweli!!![emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 798960
hata hao 50 sidhani kabisaWanaweza kuwepo ila wanaweza wasizidi 50
Yupo, nazionaga kwa cc mafundihivi Tanzania kuna mtu anaetumia onePlus 5/onePlus 6 kweli!!![emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 798960
basi vizuriYupo, nazionaga kwa cc mafundi
Hio one plus 6 haina hata mwezi,kwa fundi gani huyo simu hii ishapelekwa??Yupo, nazionaga kwa cc mafundi
Brother watu wanatumia cm mpaka ukiona unastajabu, kitu ch Asus, Oppo, ss mafund ndio tunajuabasi vizuri
Are you sure?Halafu ulizia kwa Tanzania tu zimeuzwa copy ngapi, you'll be shocked hata copy 5,000, yaani hakuna watu 5,000 wenye hiyo iPhone X.
Acha ubishi, hap kariakoooo mizigo daily inashuka, wewe haupo kwenye hiyo industry. Tum number zako nikupigie picha ya mtej nikutumieHio one plus 6 haina hata mwezi,kwa fundi gani huyo simu hii ishapelekwa??
Ok sawa mkuu,nimeacha ubishiAcha ubishi, hap kariakoooo mizigo daily inashuka, wewe haupo kwenye hiyo industry. Tum number zako nikupigie picha ya mtej nikutumie
Hapa sio KOROMIJE, kariakoooo na china watu wanaona km wanakwenda Zanzibar vileOk sawa mkuu,nimeacha ubishi
ni kweli, dunia imekua ndogo sana ss hiviBrother watu wanatumia cm mpaka ukiona unastajabu, kitu ch Asus, Oppo, ss mafund ndio tunajua