iPhone za Makumbusho zina nini?

Hata Ellite Computers waliopo pale Upanga mtaa wa Magore jirani na shule za msingi za Diamond na Olympio wanaziuza orijino.
 
Iphone original zinauzwa karibu kila mahali dar hata hapo makumbusho wanauza iphone original. TunachokiongeleA hapa ni refurbrished au sio.
Umeelewa?
Hata Ellite Computers waliopo pale Upanga mtaa wa Magore jirani na shule za msingi za Diamond na Olympio wanaziuza orijino.
 
I phone kuna muda huwa zna mambo za ajabu sana
 
Kama unataka Kama unataka simu mpya kabisa... tafuta hela nenda duka la Iphone mlimani city. Nje ya hapo iphone fake utauziwa popote pale...
 
Hazina shida kabisa mimi nilinunua Samsung S8+ wako sawa na kama unataka nikuunganishe na jamaa wa makumbusho wapo sawa na guaranty juu.
 

Refurbished phone ni customer returned phone ambazo sitakuwa zimetoka nje, they are good phones! Ukiishika tu IPhone kama mi fake utauijua, nimetumia iPhone toka nianze kukua bado sijakutana na fake!

Shida moja kubwa ni kama ilivunjika kioo kabadilishwa na cha China hapa hapa bongo, hapo imekula, baada ya mda kitaanza Leta shida, unakitambuaje? Si Cheusi kabisa, kinakuwa kama kina mawingu hivi
 
kichawi vipi, kwa hiyo kama vitu vinauzwa feki ndio asihoji?(ni haki yake)
Usitie watu nidhamu ya uoga ya kuhoji ili wafunge mdomo.

Au wewe mkuu una duka lako huko Makumbusho nini[emoji23][emoji23][emoji23] (kama ndio, acha raia wafunguke tujue mbivu na mbichi)
Uzi umekaa kichawi Sana huu, sasa kama wamekuelekeza zinakopatikana original kwa usiende kununua huko.

iPhone nyingi zinazouzwa bongo ni usied ila sio feki.

Acheni kuharibu biashara za watu walizogharamia kuzitangaza.
 
Huna pesa then unataka Iphone mpya...nyie ndio wale kazi hii sifanyi nawakati huna kazi.
 
Iphone original zinauzwa karibu kila mahali dar hata hapo makumbusho wanauza iphone original. TunachokiongeleA hapa ni refurbrished au sio.
Umeelewa?
Sawa mkuu. Nilielewa toka mwanzo ila labda ni vile sikufafanua zaidi kwenye maelezo yangu. Nilichomaanisha ni kwamba hilo duka wanauza original and unrefurbished iphones yaani simu inakuwa ni brand new.
 

Vijana wa makumbusho magumashi sana..niliagizaga note 4 kipindi iko zipo on trend me nipo mkoani..ile simu niliirudisha mara tatu kwa simu tofauti..kila nnayoletewa feki..nikakubali maisha yaendelee na mm nikaja mwachia mtu kwa bei ya hasara..siji nunua simu kwa vijana wa makumbusho.. nipe ela nauza i phone 7 yangu laki tano..gb 128.
 
Sawa mkuu. Nilielewa toka mwanzo ila labda ni vile sikufafanua zaidi kwenye maelezo yangu. Nichomaanisha ni kwamba hilo duka wanauza original and unrefurbished iphones yaani simu inakuwa ni brand new.
Wanauza iphone 6 au 5s brand new sio refubrished???
 
hii mbona kama vita kutoka kwa vijana wa kariakoo na viunga vyake!!maana kwa miaka 2 ijayo makumbusho itakuwa na kila kitu.

suala la simu refub ni la maeneo yote tz,inatokana na ukweli kwamba simu mpya bei hatuziwezi kama zinavyotushinda gari mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…