iPhone za Makumbusho zina nini?

iPhone za Makumbusho zina nini?

Wewe unaonekana ni either huzijui iphone au ni agent wa hilo duka lako.
Yaani wanauza iphone 6 brand new??
Embu tuambie wewe umejiridhisha vipi hizo simu sio refurbished au uliangalia kitu gani kuzitofautisha
Labda hadi ufike pale ndio unaweza kujiridhisha. Pia badala ya refubrished ni refurbished.
 
Habari zenu wanazengo, naombeni kupata ufafanuzi kidogo kuhusu iPhone zinazouzwa madukani makumbusho dar...nilikuwa nataka kununua ila nikafanya utafiti kidogo wengi wakaniambia nenda makumbusho

Ila kabla sijaenda nikatonywa na fundi wang wa simu akasema usiende kule watakupa simu feki, mara wengine wanasema second hand, mara refurbished, mara hazidumu kwa sababu sio orijino.

naombeni mnisaidie jaman nijue kiundani zaidi kama kuna aliyewah kununua na kujua mapunguf ya hzo simu..na pia mnielekeze sehem wanazouza hizi simu original kwa bei ya kawaida maana ni ndoto yangu na mimi kumiliki iphon... iphone 5,5s au 6 zenye storage ya 16 had 64

sijaandika huu uzi kwa lengo la kuharibu biashar ya watu,

nisamehe kwa mwandiko wang kama utawakera

Napenda kuitahadharisha jamii kuhusu simu zinazotangazwa za iPhone na Samsung Note 5. Kweli kabisa ni fake. Mimi nilinunua iPhone 5 na Samsung Note 5. Zinazima ovyo hata hazikuchukua wiki moja. Nilipowasiliana na huyo muuzaji - (jina nalihifadhi kwa sasa ila wakati muafaka ikibidi ntaliweka hadharani), amenizungusha mara yuko safarini nakadhalika. Mwisho wa siku amenifanyia ufedhuli sina hata hamu. Imekula kwangu.

Msithubutu nanasisitiza. Hai wanaosema tunawaharibia biashara si wa kweli. Si halali kufanya biashara ambayo unajua fika kuwa ni mbovu. Mbaya zaidi ukidai risiti unaambiwa utaletewa na huipati unakata tamaa.
 
Simu ya iPhone mimi ilinishinda. Kwangu ipo complicated. Nishazoea ku download vitu nilishindwa. Maybe ndio maana hizo simu zinadumu
 
Nenda Mlimani City zipo original sema Bei zake zimesimama sana zipo kuanzia iPhone 6 na Bei wamepunguza ni Tshs 750,000 Hawana izi za plus
Safari njema na karibu katika dunia ya iPhone
Kama ni 6 curve iyo bei ni mbali sana 6+ na 64gb tunaeza fanya nao biashara.
 
Mfano iPhone X= 3,885,000 mara ya mwisho kufanya window shoping bei ilikuwa hiyo

Wewe hapa unaonaje??..ndo maana ya kusema bei zimechangamka

So hata hizo 6,7 bei itakuwa juu pia
Ni X max au X curve mkuu ..vip GB zake ni 64, 120 au 256?
 
Nenda Kariakoo China Plaza, kuna maduka mengi ya IPhone original kama Punga phone na mengine mengi tu, utapata IPhone X, IPhone XS, IPhone XSM na matoleo mengine ya kisasa ZAIDI, achana na used au fake utapoteza pesa yako bure
Hao punga phone ni walewale, waliwahi kuniuzia Sony ericsson fake mpaka leo maduka yao nayaogopa kama ukoma
 
Makumbusho huko ni refurbished,,mixer second hand..kingine hakuna iPhone fake

Nenda Apple store Mlimani City,bei zimechangamka kuliko kawaida..wewe si umesema unataka original??,,sogea hapo
Hamna iPhone Feki? rudia tena nikuskie...

usiongee kwa sauti watu wasikuskie...

Mchina sio mtu mzuri narudia tena Mchina sio mtu mzuri.
 
Makumbusho huko ni refurbished,,mixer second hand..kingine hakuna iPhone fake

Nenda Apple store Mlimani City,bei zimechangamka kuliko kawaida..wewe si umesema unataka original??,,sogea hapo
Hamna iPhone Feki? rudia tena nikuskie...

usiongee kwa sauti watu wasikuskie...

Mchina sio mtu mzuri narudia tena Mchina sio mtu mzuri.
 
KUJUA I PHONE FEKI PIGA*#06# KUPATA IMEI NAMBA UKIISHA IPATA NAMBA. NENDA KWENYE IMEI.INFO ITAKUONYESHA SEHEMU YA KUWEKA ILE NAMBA YA IMEI ULIYOIPATA WEKA IMEI NAMBA HALAFU CLICK CHECK KAMA IKIKULETEA INFOMATION ZOTE ZA SIMU UJUE NI ORG KAMA HAIKULETA INFOMATION UJUE FEKI
 
Back
Top Bottom