Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Lipa Namba ya crdb na Nmb zikoje??Ukitaka kuweka weka zote
Zipo kawaida tu unahitaji unafanya Biashara gani? Km sio mfanyabiashara huwezi kupata hizo ni kwa ajili ya wafanyabiashara tuLipa Namba ya crdb na Nmb zikoje??
Wameweza kushika kila angleCRDB baba lao. Almost kila sehemu Ipo.
Ukilipa laki moja gharama shs ngapi???Zipo kawaida tu unahitaji unafanya Biashara gani? Km sio mfanyabiashara huwezi kupata hizo ni kwa ajili ya wafanyabiashara tu
Hapo tembelea Wakala wa huduma husika, ulikua unataka ipi na je unafanya biashara?Ukilipa laki moja gharama shs ngapi???
Okay mkuuZote sawa tu hakuna inayozidi nyingine sababu huduma zinafanana
Sijawahi ata sikia hii.Lipa Namba ya crdb na Nmb zikoje??
ZipoSijawahi ata sikia hii.
Muwekaji kwema huko.Natumia lipa namba ya voda iko vizuri, natumia pia ya airtel.
Uzuri wa voda hata kulipana kati ya lipa namba to lipa namba ni free.
Ndio maana hata kwenye kazi yangu ya kubeti naitumia hii.
Yaani mimi sikatwi thumuni wakati wa kudeposit, sikatwi 10% maana nimechagua bookie ambao hawakati. Nikishinda nalipwa pesa ileile bila makato kisha natoa bure kwenye lipa namba.
Wakala wa bookie mfano mrusi (888starz au melb) ana lipa namba tofauti ikiwemo voda.Muwekaji kwema huko.
WanayoNMB wana lipa namba? Sikujua..