Ipi faida ya mwanadamu hapa duniani?

Ipi faida ya mwanadamu hapa duniani?

Hakuna faida yoyote ya binadamu kwenye hii dunia , dunia ipo tu bila utegemezi wa kiumbe chochote.
 
Na hiyo tofauti tumejipa tu wenyewe, ukweli ni kwamba hata wanyama kwa jinsi zao.... wanatuona sisi kama tunavyowaona wao tu.
kweli kabisa sijui hata nini maana ya maisha na uhai kwaujula sijui alie umba kilakitu alikua anania gani na ananufaika nanini.?
 
Hakuna faida yoyote ya binadamu kwenye hii dunia , dunia ipo tu bila utegemezi wa kiumbe chochote.
kweli kabisa. alafu nasikia alietuumba pia ameumba majini na mashetani pia malaika asa najiulizaga mimi na jini yupi ni kumbe special kuzidi mwenzake.? mbon hao majini na mashetani wako powerful kutuzidi.?
 
kweli kabisa sijui hata nini maana ya maisha na uhai kwaujula sijui alie umba kilakitu alikua anania gani na ananufaika nanini.?
Unajiita Jasusi halafu hujui aliyetuumba alikuwa na nia gani?
 
Back
Top Bottom