Arnold peter
Member
- May 2, 2024
- 6
- 3
Mungu tu atusaidie Kwa kweli....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa sijui hata nini maana ya maisha na uhai kwaujula sijui alie umba kilakitu alikua anania gani na ananufaika nanini.?Na hiyo tofauti tumejipa tu wenyewe, ukweli ni kwamba hata wanyama kwa jinsi zao.... wanatuona sisi kama tunavyowaona wao tu.
kweli kabisa. alafu nasikia alietuumba pia ameumba majini na mashetani pia malaika asa najiulizaga mimi na jini yupi ni kumbe special kuzidi mwenzake.? mbon hao majini na mashetani wako powerful kutuzidi.?Hakuna faida yoyote ya binadamu kwenye hii dunia , dunia ipo tu bila utegemezi wa kiumbe chochote.
Unajiita Jasusi halafu hujui aliyetuumba alikuwa na nia gani?kweli kabisa sijui hata nini maana ya maisha na uhai kwaujula sijui alie umba kilakitu alikua anania gani na ananufaika nanini.?
ndio sijui hataUnajiita Jasusi halafu hujui aliyetuumba alikuwa na nia gani?