A Arnold peter Member Joined May 2, 2024 Posts 6 Reaction score 3 May 9, 2024 #21 Mungu tu atusaidie Kwa kweli....
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 May 9, 2024 #22 Hakuna faida yoyote ya binadamu kwenye hii dunia , dunia ipo tu bila utegemezi wa kiumbe chochote.
Jesus37 Senior Member Joined Feb 9, 2023 Posts 108 Reaction score 112 May 9, 2024 #23 ngenya said: Na hiyo tofauti tumejipa tu wenyewe, ukweli ni kwamba hata wanyama kwa jinsi zao.... wanatuona sisi kama tunavyowaona wao tu. Click to expand... kweli kabisa sijui hata nini maana ya maisha na uhai kwaujula sijui alie umba kilakitu alikua anania gani na ananufaika nanini.?
ngenya said: Na hiyo tofauti tumejipa tu wenyewe, ukweli ni kwamba hata wanyama kwa jinsi zao.... wanatuona sisi kama tunavyowaona wao tu. Click to expand... kweli kabisa sijui hata nini maana ya maisha na uhai kwaujula sijui alie umba kilakitu alikua anania gani na ananufaika nanini.?
Jesus37 Senior Member Joined Feb 9, 2023 Posts 108 Reaction score 112 May 9, 2024 #24 min -me said: Hakuna faida yoyote ya binadamu kwenye hii dunia , dunia ipo tu bila utegemezi wa kiumbe chochote. Click to expand... kweli kabisa. alafu nasikia alietuumba pia ameumba majini na mashetani pia malaika asa najiulizaga mimi na jini yupi ni kumbe special kuzidi mwenzake.? mbon hao majini na mashetani wako powerful kutuzidi.?
min -me said: Hakuna faida yoyote ya binadamu kwenye hii dunia , dunia ipo tu bila utegemezi wa kiumbe chochote. Click to expand... kweli kabisa. alafu nasikia alietuumba pia ameumba majini na mashetani pia malaika asa najiulizaga mimi na jini yupi ni kumbe special kuzidi mwenzake.? mbon hao majini na mashetani wako powerful kutuzidi.?
ngenya JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,313 Reaction score 1,773 May 10, 2024 #25 Jesus37 said: kweli kabisa sijui hata nini maana ya maisha na uhai kwaujula sijui alie umba kilakitu alikua anania gani na ananufaika nanini.? Click to expand... Unajiita Jasusi halafu hujui aliyetuumba alikuwa na nia gani?
Jesus37 said: kweli kabisa sijui hata nini maana ya maisha na uhai kwaujula sijui alie umba kilakitu alikua anania gani na ananufaika nanini.? Click to expand... Unajiita Jasusi halafu hujui aliyetuumba alikuwa na nia gani?
Jesus37 Senior Member Joined Feb 9, 2023 Posts 108 Reaction score 112 May 10, 2024 #26 ngenya said: Unajiita Jasusi halafu hujui aliyetuumba alikuwa na nia gani? Click to expand... ndio sijui hata
ngenya said: Unajiita Jasusi halafu hujui aliyetuumba alikuwa na nia gani? Click to expand... ndio sijui hata