Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

Sasa ndiyo aongee upoyoyo huku akijua influence yake kwa jamii?
Yupo saa12 jioni Hana hasara.
Hapo ni sawa na Nyerere kusema kwa katiba hii ipo siku mtawaliwa na dikteta,Hali alikuwa na uwezo wa kuibadili
 
Mwinyi,lowasa,na mlema saiz hawaongei kwa mtiririko mzuri wa maneno walichobakiwa nacho wakiwa wanaongea ni kutoa sauti tu
 
Kulikuwa na majina matatu
1.Mwinyi
2.Kawawa
3.Dr. salim
 
Mwinyi amedhihirisha ni mtu asiye makini. Ndiyo maana wakati wa Utawala wake Nyerere alimuonya hadharani kuhusu kuchukua maagizo ya kuendesha nchi toka kwa mkewe.

Hata Husein atakuwa Mzigo kwa Zanzibar. Muda utadhihirisha hilo
 
sio hana muda wa kuumiza akili, yaani akili yenyewe ndo hamna hata akiumiza kichwa akili inayotoka ni makapi na machicha tupu!!
 
Kwanza hata hajui kwamba huyo Rais wake alikuwa na mtu wake mgongoni ila akazidiwa nguvu na nguvu ya umma! Mzee anatetea tumbo utafikri ana njaa!
 
Najua wote tunafahamu maandiko ya vitabu vya dini kuwa umri ukienda sna ndo akili na uwezo wa kufikiri hupungua so hta ukipata nafasi ya kuongea lazima utazungumza vtu vya ajabu..... Tatzo umri.
 
Mzee wa watu huwa hataki lawama, yupo kule kubariki chochote watakacho.
 
Umri ukisogea sana na uwezo wa kiufahamu unapungua mno!! Mzee kala chumvi anaikaribia karne kwhyo kwq tulioishi na wazee kama hao tunajua
 
Hata Nyerere aliwahi kugombana naye alipo vunja katiba kwa kuiingiza nchi kwenye umoja wa nchi za kiislamu.
 
Wajumbe walielewa mchezo wa Nyerere wa kuwachagulia viongozi,safari hii ilikuwa Raisi wa Jamhuri atoke Zanzibar.
Macho na mawazo ya Nyerere yalikuwa hayana dukuduku,alipoanza kumfagilia Salim Ahmed Salim,ndipo point of information ikatokea kwa wajumbe wa Zanzibar kwamba Salim Ahmed Salim, hafai hata ngazi ya uwaziri mwisho wao waarabu ni ukatibu mkuu wa wizara.Wakihoji Mwinyi ana tatizo gani kwani yeye ndie Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Muungano pia ni Raisi wa Zanzibar?
Salim alibubujika machozi,nae Nyerere akafoka sana akahairisha kikao.
Lakini kama mwanzo siku hiyo haikuwa nzuri kwa Nyerere, kwani Getruda Mongela akamnongoneza Mwinyi kuwa Nyerere akikuuliza kama unaweza kuvaa viatu vyake sema bila kusita naweza kuwa Raisi wa Jamhuri.
Na hicho ndio kilichotokea,Nyerere akafungwa magoli kwa mchezo wake mwenyewe.
 
Mwinyi siku zote alichokuwa anakipigania ni mwanae awe rais huko Zanzibar na kwa hilo alikuwa hata tayari kulamba miguu ya rais yeyote yule ili hiyo ndoto itimie.

Mwinyi hana shida na maslahi ya nchi hii ila yeye anaangalia maslahi yake tu. Inafaa sasa naye roho yake ipumzishwe maanake hana faida kwa nchi hii sasa, kuishi hadi zaidi ya miaka 90 ni bure tu kwani sasa unakuwa tu kero.

Wenzake woote wanakufa wanamuacha hadi hata yule kijana aliyemnasaga kibao msikitini naye alishajifia lkn yeye bado yupo tu kulinda utawala wa dhuluma na mambo mengi yanafanyika mabaya lkn yuko kimya kabisa ili mradi tu mwanae apewe urais wa figusu.

Wazee wengine ni bure kabisa.
 
Mzee Mwinyi sio baba wa taifa ni mnafiki wa taifa , unakumbuka aliwahi kupigwa makofi kws unafiki wake mpaka kwenye masuala ya dini.
 

Hizo ndizo siasa za ccm. Mzee analinda penseni.
 
Natamani awepo jasiri mwingine wa kumpiga kelb huyu mnafiki anayewaza tumbo kuliko nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…