Ipi fridge nzuri ya mlango mmoja?

Ipi fridge nzuri ya mlango mmoja?

kimbogota

Member
Joined
Apr 29, 2022
Posts
8
Reaction score
0
Nataka kununua fridge ya mlango mmoja kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.Nimeona fridge za kampuni zifuatazo;
1.Mr Uk
2.Boss na
3.Hisense.
Hisense compressor yake iko nje na haina bulb kwa ndani.
Mwenye ufahamu na hizi fridge naomba ushauri nichukue ipi?
 
Back
Top Bottom