Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

Hili la prado kuchomoka tairi na ball joints likoje wakuu? Halina tiba?

Hili ndilo tatizo kubwa kwny Prado, nimewahi kuchomokewa zaidi ya mara3, ingawa thanx God huwa hazichomoki kwny high speed!
 
Sijajua kwa nini, ila mafundi wa Toyota Tanzania Limited, walinishauri nisinunue prado za Diesel... Sifahamu kama ilikuwa specific kwa model yangu au la...

Vipi hujajua kwanini mkuu, nani anataka gari la Diesel sikuhizi ? Unless kama unatafuta gari la kwenda kulimia kijijini hapo sawa...!
 
Vipi hujajua kwanini mkuu, nani anataka gari la Diesel sikuhizi ? Unless kama unatafuta gari la kwenda kulimia kijijini hapo sawa...!
Binafsi sijawahi endesha gari ya diesel, ila huwa naona kuna watu wana hype na hizo gari.
 
Hizo ball joint za chini lazima uzibadilishe baada ya mwaka 1 au baada ya km 5000
 
Hizo grand vitara escudo ni balaa wala asilinganishe na Prado maana zinachoka mapema na bodi ni laini sana
 
Mkuu chagua mojawapo kati ya hizi...

suzuki grand escudo

Toyota Prado:

Toyota Kluger

Escudo nimeiondoa. Bado sijaona kasoro za Kluger achilia mbali muonekano wake mimi siupendi. Kwa hiyo
1. Kluger
2. Prado
 
RugambwaYT escudo XL7 hasa ndo nilikuwa naiongelea
 
Last edited by a moderator:
Sijajua kwa nini, ila mafundi wa Toyota Tanzania Limited, walinishauri nisinunue prado za Diesel... Sifahamu kama ilikuwa specific kwa model yangu au la...

Mafundi hawakukupa sababu mkuu nawe ukabeba "gospel" ya mafundi??!!
 
Escudo nimeiondoa. Bado sijaona kasoro za Kluger achilia mbali muonekano wake mimi siupendi. Kwa hiyo
1. Kluger
2. Prado

Kama unataka kwenda off road, chukua Prado. Kluger nyingi ni just front wheel drive, though kuna baadhi ambazo ni AWD, which in reality huwezi ilinganisha na Prado yenye 4WD.
Ila Prado ya kununua ni J120 model year 2002 onward. Hii ni land cruiser kamili.

Ile J90 ya 1996 to 2001 year model sio land cruiser kamili, it is basically a toyota hilux surf, maana zimetengenewa kwa same platform.
 
Ok. Ngoja nitaingia kwenye mtandao niziangalie
 
maoni mengi ni kutokana na matumizi yaani kuendesha.

Je mafundi, wauza spea mnasemaje?

Hii mada ni nzuri, si lazima uwe una miliki gari hilo Elimu haina mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…