Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?


kwa hyo tukuchagulie????
 
Mimi nazipenda hizi j90 na j95
 

Kluger ndiyo kila kitu mkuu limekaa vizur sana ndani mkuu km vile fastjet
 
Nijuavyo mimi kwa upande wa suzuki. Escudo anatengeneza Mjapan wakati vitara au grand vitara anatengeneza Muingereza. Ukija kwa Mmarekani yeye anaziita Side kick.
 
Zote nzuri inategemea mzunguko wa pesa yako.
Cif inategemea na ukubwa wa injini na mwaka wa kutengenezwa.
Jambo la msingi nunua gari la ndoto yako.
Kqangu naipenda sana suzuki gr escudo ni gari tamu sana
 
Mi nachojua Kluger hakuna 4WD, ambayo kwangu ni kigezo muhimu sana.
Sina uhakika wa Suzuki ila Unapoangalia Prado kwenye mtandao angalia pia na Engine Capacity, Fuel Type, etc,
Usije ukachukua gari based on price likakushinda kulihudumia
 
Mi nachojua Kluger hakuna 4WD, ambayo kwangu ni kigezo muhimu sana.
Sina uhakika wa Suzuki ila Unapoangalia Prado kwenye mtandao angalia pia na Engine Capacity, Fuel Type, etc,
Usije ukachukua gari based on price likakushinda kulihudumia
Kluger zipo ambazo ni AWD.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 


prado za diesel zinasumbua,chukua prado tx yenye engine ya 3rz...its good for off road na lami pia iko poa...
itakupa that luxury look,comfortability na durability pia...kuhusu hilo la kuchomoka ball joint ni service yako mpaka ball joint kuchomoka maana yake gari ishaanza kugonga miguu ya mbele of which kama unajua gari na kuservice ipasavyo haiwezi kukutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…