Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

Zote nzuri inategemea mzunguko wa pesa yako.
Cif inategemea na ukubwa wa injini na mwaka wa kutengenezwa.
Jambo la msingi nunua gari la ndoto yako.
Kqangu naipenda sana suzuki gr escudo ni gari tamu sana
Kwanin unasema tamu mkuu ?
 
Basi nunua Tractor New Holland Tt55 coz kila gari kama halifai hivi ile ni imara sana hata kupigia msele
 
Prado za 1998 mpaka 2002 hazijambo kwa kuchomoka tairi za mbele hizo gari...na 70% ya ajali zake ni tairi zimechomoka...pia kwenye kona hazina stability kama gari zingine.

Grand escudo na kruger zinayo stability nzuri na safari ipo japo grand escudo inapepea zaidi unless ikutane na kruger la cc3000 V6....

NOTE: ukijadili kuhusu wese ujue muda wa kumiliki ndinga bado.
 
VIP fuel consumption ya Grand escudo?
 
Naulizia fuel consumption ya grand escudo ipoje ?
 
Sijajua kwa nini, ila mafundi wa Toyota Tanzania Limited, walinishauri nisinunue prado za Diesel... Sifahamu kama ilikuwa specific kwa model yangu au la...

Kama utaweza pata Hyundai Santa Fe ama Hyundai Tucson zipo okay sana na mchina bado hajaingilia vifaa vyake
 
Back up tyre ikoje hiyoo
 
Hili la prado kuchomoka tairi na ball joints likoje wakuu? Halina tiba?
Mie nyingi nimekutana na model za zamani... (Kwa hizi mpya bado cjaziona)... Hasa njiani unakuta kitu kimelala barabarani
 
Mi nachojua Kluger hakuna 4WD, ambayo kwangu ni kigezo muhimu sana.
Sina uhakika wa Suzuki ila Unapoangalia Prado kwenye mtandao angalia pia na Engine Capacity, Fuel Type, etc,
Usije ukachukua gari based on price likakushinda kulihudumia
Kwa kigezo kipi hakuna 4WD... Labda ufafanue vzr. Nimetumia mfano wa kluger gari be4wd

 
Kwa kigezo kipi hakuna 4WD... Labda ufafanue vzr. Nimetumia mfano wa kluger gari be4wd

Labda tufahamu kwanza tofauti ya 4WD na AWD nachojua mimi Kluger zipo ambazo ni AWD na sio 4WD kwa kuwa hazina optional.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…