Kwa manufaa yangu na wengine. Naomba uilinganishe Carina Ti na Corrolla E 111.End of voting Carina Ti 85%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa manufaa yangu na wengine. Naomba uilinganishe Carina Ti na Corrolla E 111.End of voting Carina Ti 85%
Mkuu una ushahidi au umebeba story za vijiweni? Ti engine zake ni A series na kuweka records vizuri Ti zina engine ya 5A hadi 7A! Hizo ni moja wapo ya engine imara, powerful na economical kupata kutengenezwa na Toyota. Binafsi nina Corolla 110 engine ya 5A, tangu iingie Tz mwaka 2011 sijagusa engine zaidi ya kubadilo oil tu.Carina karibia zote zina tatizo la kuvuja injini take care!!! Utajikuta unaendesha ghafla umekaanga injini
Sure thingCarina ti ndo nzuri ni rahisi hata ukiamua kabadilisha kuwa pesa na IST kwa mjini Carina inakwenda popote wakati wowote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wish....mafuta 15,000 kwa wiki ni kwamba itakuwa haitembei zaidi ya kuipasha moto hapo hapo home?
Chukua iST. Ipo stylish kwanza, starlet imekuwa outdated, funcargo ina muonekano hasi sana japo inashare some features na Vitzmi nisaidieni nichukue ipi kati ya IST, FANCARGO, VITZS, STALET jaman ipi ipo makini kati yahizi
Gx100 na gx1100 znauzwa mil2 au moja nusu hachana nayo zshaishaga muda wakeChukua gx100 ndo mwisho wa matatizo
Mkuu achana na vigali vya technology ya kizamani TI ni ushuzi hicho kigari hakina nguvu zaidi ya kuunguruma tu na kula weseKwa manufaa yangu na wengine. Naomba uilinganishe Carina Ti na Corrolla E 111.
Sio kila teknolojia mpya inahitaji kukumbatiwa mzee! Kuna wakati waangalia mazingira na hali halisi. Ndio maana hata baadhi ya taasis wakati Microsoft kaleta Windows 7 na 8, wao walibaki na XP kwa zaidi ya miaka 8. Na sasa ulimwengu unahamia W10, wao wapo W7.Mkuu achana na vigali vya technology ya kizamani TI ni ushuzi hicho kigari hakina nguvu zaidi ya kuunguruma tu na kula wese
Acheni uzushi jamani ugumu/ ubora na uimara wa gari ni matunzo na kuijali service, msipende kuwaaminisha watu vitu vilivyopitwa na wakatiSio kila teknolojia mpya inahitaji kukumbatiwa mzee! Kuna wakati waangalia mazingira na hali halisi. Ndio maana hata baadhi ya taasis wakati Microsoft kaleta Windows 7 na 8, wao walibaki na XP kwa zaidi ya miaka 8. Na sasa ulimwengu unahamia W10, wao wapo W7.
So hiyo gari unayoita ushuzi ni imara kwa badhi ya mazingira kuliko hizo uonazo ni keki.
Sent from my SM-J700F using Tapatalk
Muulize Mke wako Kwanza au Dem wako. Tunaweza kuchagua akakataa.