mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
CARINA TI aiseee.nlinunua kwa mtu mwaka 2011 namba A hadi leo inadunda balaa..haina tatizo lolote na moshi arusha ninaenda kila napojisikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh moshi arusha? Si safari ya mbagala na kawe mkuu mfano gani huuCARINA TI aiseee.nlinunua kwa mtu mwaka 2011 namba A hadi leo inadunda balaa..haina tatizo lolote na moshi arusha ninaenda kila napojisikia
Mkuu wengi hawayajui magari ni sawa na kipofu kuona juaDuh moshi arusha? Si safari ya mbagala na kawe mkuu mfano gani huu
Mkuu kwenye spacio hapo sio kweli kwa spacio new model zinabeba watu saba tena sio kwa kujibana na zipo za cc1490 to cc1500 na izo za cc1780 to cc1800Carina Ti utapakiza watu 5 na mzigo wa kutosha na ina cc 1500.
IST utapakiza watu 4 na mzigo kiasi cc 1300.
Spacio inabeba watu 5 kwa kujibana na mzigo mkubwa kiasi kuliko IST ila engine size 1800cc.
Runx/Allex ina inabeba watu 5 kwa kujibana, mzigo kiasi kama ist na cc1500.
Raum watu 4 mzigo mkubwa kiasi kama spacio na cc 1500.
Hapo piga mahesabu yako crossmultiplication upate gari unayoitaka. Zote gari nzuri.
Kwa ushauri wangu carina Ti is the car to go with kama una familia na utaifanyia baishara ya teksi ikiwa utapata gari nyingine badala ya kuiuza.
Hiyo high way inakulaje mafuta ,Lita moja inaenda km ngapi?Wakuu hapo katika list nilifanikiwa kuchukua Allex 2006, iko poa sana
Angekuwa anataka gari ya kubeba abiria wengi angesema na angekuwa anataka gari ya kubeba mizigo angesema,hiyo Carina ti sio gari nzuri haukai comfortable unakuwa kama umechuchumaa,na hapo uliposema spacio zina cc 1800 umeteleza spacio nyingi zinatumia 1NZ-FE engine chache sana zinazotumia 1ZZ-FE lete visingizio vingineCarina Ti utapakiza watu 5 na mzigo wa kutosha na ina cc 1500.
IST utapakiza watu 4 na mzigo kiasi cc 1300.
Spacio inabeba watu 5 kwa kujibana na mzigo mkubwa kiasi kuliko IST ila engine size 1800cc.
Runx/Allex ina inabeba watu 5 kwa kujibana, mzigo kiasi kama ist na cc1500.
Raum watu 4 mzigo mkubwa kiasi kama spacio na cc 1500.
Hapo piga mahesabu yako crossmultiplication upate gari unayoitaka. Zote gari nzuri.
Kwa ushauri wangu carina Ti is the car to go with kama una familia na utaifanyia baishara ya teksi ikiwa utapata gari nyingine badala ya kuiuza.
Vvti imetulia sana katika mafuta, wengi wakisikia Gx 100 wanawaza 1g ambayo ni kweli inakunywa, ninazo zote mbili gx na Carina na sioni utofauti katika wese.Aisee i beg you nina experience na hii gari usichukue but take carina ti angalia hata comments za watu wengi hapo juu waliyoyasema ni sahihi kabisa
Rav4 old model manual gear ndo mpaka wajukuu.carina mpaka wajukuu
Bajaj tu zaidi ya 3.0m hiyo GX itakuwa imeungwa ungwa na nyayaAkifata huu ushauri baada ya miaezi miwili atakuja kuiuza kwa 2.5 m angalau apate kifuta machozi
mkuu kwa umeshauri runx na sio allex?Ingawa mtoa mada ameshapata gari aliyokua anaitafuta (Allex), kwa manufaa ya wengine wenye matatizo kama ilo, mimi ningesgauri RunX ambayo ni sawa kila kitu na Allex kasoro jina tu.
Nimelitumia kwa muda wa mwaka mmoja na nusu hadi sasa sijawahi ona tatizo kubwa la ili gari na kila siku nazidi kulifurahia.
Hapa kuna model nyingi za RunX kutokana na mwaka uliotengenezwa ila kuna trim kubwa mbili, S na X. Hizo zenye S ni sport, na engine yake ni 1.8L na ni 4WD wakati huyu X ni zakawaida na ni FWD ila zipo pia 4WD na engine 1.5L common ila zipo pia za 1.3L.
RunX ni comfortable, fuel efficiency, spacious, maintenance zake ni ndogo na durable coz ni family ya Corolla.
Nimecheka saana. Teh teh teh teh teh!Inategemea na preferences zako mkuu, hapo kuna gari zile ngumu zaidi na baadhi ni mayai. Raum old model ni ngumu na imara isipokuwa raum new model ni mayai na delicate saana inafaa kwa bata la town.
Ila ningekushauri uchukue zote maana najua huwa hupendagi ujinga.