Ipi gari ya kuchukua? Toyota RunX / Allex, IST, Spacio, Raum,Carina

Ipi gari ya kuchukua? Toyota RunX / Allex, IST, Spacio, Raum,Carina

Inategemea na preferences zako mkuu, hapo kuna gari zile ngumu zaidi na baadhi ni mayai. Raum old model ni ngumu na imara isipokuwa raum new model ni mayai na delicate saana inafaa kwa bata la town.

Ila ningekushauri uchukue zote maana najua huwa hupendagi ujinga.
Wewe mtu, aise,, umeyastua mapafu yangu vya kutosha
 
Baada ya kuumiza kichwa mda mrefu nahitaji kuchukua mojawapo kati ya hayo. Ipi ni gari bora zaidi hapo overall?

Unachukua kwa utaratibu upi? Halali kwa kununua au visivyo halali kwa kukwapua wakati mwingine na watoto wetu wakiwa ndani ya gari?
 
Back
Top Bottom