Ipi historia ya kweli kuhusu Israel?

Ipi historia ya kweli kuhusu Israel?

Ukitaka kuelimika uwe *objective" zaidi ya kuwa "subjective." Sasa tukuambie ile haikuwa familia tu. Ibrahimu mi baba wa Taifa la Israel. Yakobo ambaye ndie Israeli mwenyewe ni mjukuu wa Ibrahimu. Mungu alimpomtokea Musa (Kutoka 3) alijitambulisha kwa majina hayo "Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo." Hiyo ndiyo "Link" tunayotumia humu. MUNGU ndiye aliyesema Ibrahimu atakuwa taifa kubwa "Mwa 22". Sio sisi. Historia ya Israel nje na ndani ya Biblia imedhihirisha hilo. Msikilize sana Netanyahu anapozungumza. Hakosi kuwataja mababa wa Israel hao watatu. Humtaja hata Daudi. Hujivunia link hiyo ya kihistoria.

FOOTNOTE: Kuwa "objective" maana yake upo tayari kusikiliza na kuelewa wanachosema wengine. Unajenga hoja juu ya vyanzo vingi vilivyopo. Mtu "subjective" ni kinyume chake. Chanzo kikuu ni mawazo yake tu.
Ibrahim atakuwa taiga kubwa..kuna tofauti kati ya Ibrahim na Israel.
Abraham na Isaac hawamjui Yahwew.na hawajui Israel ni nini
 
Screenshot_2018-07-21-00-21-40.png
 
Ibrahim atakuwa taiga kubwa..kuna tofauti kati ya Ibrahim na Israel.
Abraham na Isaac hawamjui Yahwew.na hawajui Israel ni nini
Ni kama vile Mkwawa hajui kama hapa Tanzania kila mwaka tuna siku ya Mashujaa na tunamkumbuka yeye kama mmoja wa mashujaa wa "Kalenga".Ohh, hapana Tanzania ingawa haijui Tanzania.

Hata hivyo Ibrahimu alimjua MUNGU wake ambaye kwa jina lake Yahweh alikuwa hajajulikana bado (Rejea wito wa Mussa Kut 3). Walikuwa na uhusiano mkubwa sana. Mungu alimwita Ibrahimu "rafiki yangu". Walizungumza sauti kwa sauti na hata kwa ndoto (Mwa 13, 15 na 18). Isaka hakumjua Mungu wa baba yake vipi? Walikuwa wote katika mlima Moria akiwa tayari kuchinjwa sadaka (Mwa 21-22). Aliwabariki wanae kwa Jina la Mungu wa Ibrahimu baba yake ( Mwa 27).
 
Rejea kuu ya historia ya Israel ni Biblia hususani kitabu cha Mwanzo. Ibrahim ndiye Babu wa Israel. Mungu alimfanya kuwa Baba wa Taifa kubwa Israel (Mwa 22). Ibrahim alipewa nchi ya Kanaani (Israeli ya Leo - Mwanzo 13). Baadaye Mungu aliwatoa akawapeleka Misri kupitia Yusufu (Mwa 39-50). Alikuwa amemweleza Ibrahim jambo hili hapo awali na kuwaambia watakaa huko miaka 400 kisha atawarudisha tena Kanaani (Mwanzo 15). Hivyo aliwapa nchi, akawatoa toka nchi hiyo kwa muda (miaka 400), kisha akawarudisha tena nchini mwao kupitia Mussa (Kut 3). Akawasafirisha kurudi nchini mwao kwa miaka 40 kupitia Bahari ya Shamu (Kut 13-14) jangwani (vitabu vya Kutoka, Hesabu, Walawi, Kumbukumbu la Torati na Joshua) wakiongozwa na Musa na baadaye Joshua. Musa wito wake kuwatoa Misri na Yoshua kuwaongoza kuvuka Yordani na kuwarithisha nchi yao (Joshua 1 - 24). Hii ndiyo iliyoitwa nchi ya Ahadi waliyopewa Israeli. Yoshua aliambiwa awatoe wakazi wa humo waliovamia wakati Israeli yupo utumwani Misri. Hao walikuwa Wahiti, Waperizi, Wayebusi, Wakanaani, Waamori, Wakenizi, na Wahivi. Aliambiwa awapigie (awafute na kuwatowesha kabisa). Yoshua aliwaacha baadhi yao. Hao waliisumbua Israel miaka mingi sana.

Israeli hawakupora nchi ile. Walipewa na Mungu. Alipewa Ibrahimu baba ya Israeli wote. Israeli ni Waaramu toka mwanzo yaani Wasemiti. Sio weusi kwa maana ya Uafrika ila sio Wazungu ( caucasian). Tunajua kuwa wapo "Black Jews" ama Wayahudi weusi; yaani "Falasha Jews". Hawa wapo Ethiopia na wengine walihamishiwa Israeli kupitia "Operesheni Musa" ya miaka ya sabini.

Nchi ya ahadi ni ile Israeli ya leo. Kitabu cha Yoshua kinafafanua sana mipaka hiyo kwa kina
kwa hiyo na mimi nikiandika kitabu halafu nikasema wamakonde tumepewa vietnam na mungu inatosha kuwa justification ya kuichukua vietnam! huwa najiuliza watu weusi/binadamu wazungu waliwaroga kwa dawa gani!
 
kwa hiyo na sisi tanzania tukijiandikia maandishi na ndani yake tuseme magufuli kaongea na mungu kuwa amempa marekani iwe yetu unataka dunia iamini kituko hiki!
kwani mlinyweshwa juisi gani makanisani?
 
Wakuu nakuja kwenu kuomba ufafanuzi wa maswali yangu haya machache kuhusu nchi ya Israeli.

Mimi mpaka Leo nimeshindwa kupata majibu ya haya maswali yangu.

•Kuna baadhi wanasema nchi wanayoishi Israeli sio ya kwao bali waliwapora wapalestina,je Kama hapo wanapoishi waisraeli sio pao,je kwao(ardhi) yao ni ipi?

•Je,ile nchi ya ahadi aliyoahidiwa ibrahimu na Mungu ni ipi na iko wapi na ni nani anayeimiliki kwa sasa?
Na anaye imiliki kwa sasa ni haki yake?

•Kuna nadharia inayosema kuwa waisraeli walikuwa ni WEUSI.Je,hao waisraeli weusi kwa sasa wako wapi?
Na hapo wanapoishi ndio hiyo nchi ya AHADI waliyo ahidiwa na Mungu kupitia kwa Ibrahimu?

•Upi ushahidi kuwa waisraeli walikuwa ni weusi na nini kimetokea kwa sasa wasiwe weusi wakawa weupe?

Asanteni

Swali lako liko gumu hata siwezi pengine labda ndo wale ambao musa aliwavusha mto wakati wakimkibia pharaoh hahahaha sijui wengine wanasema kuwa kuna ardhi takatifu pale yani mambo mengi tu sasa basi juzi kati hapa nilishuka maji moto boma ya ng'ombe mkoa wa kilimanjaro ilikuwa ni kama picnic tu sasa ili nimeenda kuorder na kusimamia nyama choma zina kamilika fresh nyuma yangu wakiwa mademu wa kizungu kama s7 hivi wanapiga stori pembeni yao hapo wshikaji na wanafanya yao na kushoto kwangu demu wa norway alinambia katokea oslo nadhani ndo spelling iyo alikwa anaagiza chipsi kavu iliyikatiwa nyanya alafu na sahani ya parachichi pembeni namshangaa anambia its the best alafu kulia kwangu kuna mshkaji nae akawa anaiuliza nachukua kchipsi kwa shingapi nika mwambia 2k nakaniuliza nyama nikamwambia 7k naikamuuliza wewe vipi umepigwa nini huku nikimcheka yeye ni mu Israel kwnye nyama alilikuwa anadhani kapigwa nikamwabia keep your eyes open sasa tumezunguza mambo mengi sana akawa anasema Israel is Africa nikamwngalia nikamwambia WHAT!!! yani nikaona huyu jomba vipi mbona anataka kuiba identity nikamcheka anajaribu kuniconvince hapo sasa nimeshika sahani yangu ya nyama naweka pilipili na chumvi akachukua ichumvi iliyoko kwente kopo la blue band akamwaga kiasi mezani namcheki tu akachora ramani ya afrika,israel,mediterenean sea na mataifa mengine akawa anasema see now where israel is position we donot see ourselves as europeans, asians nikmwabia how about arabs akapigwaa butwa akasema mmmh nnagrr hakuwa sure swali lilikuwa gumu kwake. So walejamaa hata hawajielewi nadhani wapowapo naona something is not right somewhere.
 
Ni kama vile Mkwawa hajui kama hapa Tanzania kila mwaka tuna siku ya Mashujaa na tunamkumbuka yeye kama mmoja wa mashujaa wa "Kalenga".Ohh, hapana Tanzania ingawa haijui Tanzania.

Hata hivyo Ibrahimu alimjua MUNGU wake ambaye kwa jina lake Yahweh alikuwa hajajulikana bado (Rejea wito wa Mussa Kut 3). Walikuwa na uhusiano mkubwa sana. Mungu alimwita Ibrahimu "rafiki yangu". Walizungumza sauti kwa sauti na hata kwa ndoto (Mwa 13, 15 na 18). Isaka hakumjua Mungu wa baba yake vipi? Walikuwa wote katika mlima Moria akiwa tayari kuchinjwa sadaka (Mwa 21-22). Aliwabariki wanae kwa Jina la Mungu wa Ibrahimu baba yake ( Mwa 27).
Hapo mwenye point kwamba mungu hakujulikana kwa jina la Yahwew,enzi za kina Abraham ndo has a point ilipo,
Moses ndo alimu introduce Yahwew,kabla ya hapo,watu wa caanan,wakiwemo kina isaka walikuwa wanamjua mungu kwa kina la El,
Hats Jacob,alimjua mungu kwa kina la El.
Lakini mamia ya miaka baadae alitokea moses,
Akiishi misri,moses aliua mfanyakazi wa farao na akatoroka misri kwenda nchi ya wamedian,
Huko alioa Binti wa kuhani wa wamedian.
Wamedian walikuwa na mungu yao,na mmoja wa mungu ya wamedian ni Yahwew
 
Yusufu alioa Mmisri
Musa alioa Mkushi

Tukija kwa upande wa Ishmael nae mama yake ni Mmisri

Kama Wamisri walikuwa weusi, basi maana yake ni kwamba kuna genes za watu weusi katika baadhi ya vizazi vya wayahudi na waarabu.

Kumbuka Yakobo mwenyewe alikuwa na watoto kumi wa kiume ila Aliwaadopt watoto wawili wa mwanae Yusuf na kuwafanya kuwa ni wa kwake ( Hivyo kutengeneza wana 12 wa Israel)
 
Hawa Wayahudi wa sasa miongoni mwao( siyo wote) wapo ambao Si uzao halisi wa Israel ( Yakobo), Wapo miongoni mwao watu walioadopt dini na mila za kiyahudi throught centuries, Kwa mfano wamo miongoni mwao vizazi vya Khazars ( ufalme wa Zamani karibu na Urusi ya Sasa ulioamua kuifanya dini ya kiyahudi dini rasmi ya Taifa hilo na watu wake kuconvert na kufuata Judaism)

Cha ajabu pia ni kwamba miongoni mwa Wspalestina ( Siyo wote) wapo watu ambao ni wa uzao halisi wa Israel ( Yakobo), Sema tu walibadiri dini na kuachana na mila za Kiyahudi na kuadopt Ukiristo and then baadae Uislam.

Kwa mujibu wa sheria za Kiyahudi, Ukibadiri dini na kuwa Mkiristo au Muislam unahesabika siyo Jew Tena hata kama utaweza kuleta Ushahidi kuwa Asili yako ni mzee Israel mwenyewe.
 
kwa hiyo na sisi tanzania tukijiandikia maandishi na ndani yake tuseme magufuli kaongea na mungu kuwa amempa marekani iwe yetu unataka dunia iamini kituko hiki!
kwani mlinyweshwa juisi gani makanisani?
Hakuna lugha kali hapa! Nimemjibu aliyeniuliza. Soma swali lake kwanza na uone jibu langu.
 
kwa hiyo na mimi nikiandika kitabu halafu nikasema wamakonde tumepewa vietnam na mungu inatosha kuwa justification ya kuichukua vietnam! huwa najiuliza watu weusi/binadamu wazungu waliwaroga kwa dawa gani!
Kitabu chako ni chako wewe. Inategemea authority gani unayo kwa unayoyaandika na ushahidi gani unaambatana nao kuthibithisha unachosema. Iwe leo ama miaka ijayo. Schliemacher mchimbaji, alisoma "Iliad" ya Homer akaiamini, akachimba eneo tajwa akagundua Troy. Leonard Cottrell aliandika kitabu "Nchi ya Shinari" ama " The Land of Shinar"; akatueleza mengi yaliyo sahihi ya kitabu cha Mwanzo na vinginevyo vya Biblia vinavyozungumzia eneo hilo yaani "Mashariki ya Kati ya Kale". Usahihi huo umewekwa wazi na ushahidi wa ki-Arkeolojia. Kwa mfano mikataba iliyokuwa ikiwekwa zamani, ukuta wa Jeriko kuanguka kwenda nje "flat", ushuru walioutoza Waashuru (Assyrians), maktaba ya Asurbanipal Mkuu huko Ninawi wakigindua mbao za udongo (clay tablets) 20000. Haya matokeo yanaipa authority simulizi za Biblia. Tunakuwa na haki ya kuinukuu na kuyafanyia kazi yaliyothibitishwa. Dunia ya leo lazima uwe objective zaidi katika kujadili mada za kisomi. Napenda sana maswali ya Zitto Junior na miitikio yake kwenye mada kama hizi
 
Wakuu nakuja kwenu kuomba ufafanuzi wa maswali yangu haya machache kuhusu nchi ya Israeli.

Mimi mpaka Leo nimeshindwa kupata majibu ya haya maswali yangu.

•Kuna baadhi wanasema nchi wanayoishi Israeli sio ya kwao bali waliwapora wapalestina,je Kama hapo wanapoishi waisraeli sio pao,je kwao(ardhi) yao ni ipi?

•Je,ile nchi ya ahadi aliyoahidiwa ibrahimu na Mungu ni ipi na iko wapi na ni nani anayeimiliki kwa sasa?
Na anaye imiliki kwa sasa ni haki yake?

•Kuna nadharia inayosema kuwa waisraeli walikuwa ni WEUSI.Je,hao waisraeli weusi kwa sasa wako wapi?
Na hapo wanapoishi ndio hiyo nchi ya AHADI waliyo ahidiwa na Mungu kupitia kwa Ibrahimu?

•Upi ushahidi kuwa waisraeli walikuwa ni weusi na nini kimetokea kwa sasa wasiwe weusi wakawa weupe?

Asanteni
Kwanza wale waliopo pale ni Wazungu hawana tofauti na Wajerumani...wale asili yao ni huko ulaya Poland etc. Waliletwa tu na wamarekani kwa mipango yao maalum ya kuitawala mashariki ya kati.
Pili wale walipokuwa huko ulaya wakiishi kipipindi hiko walikutana na wayahudi halisi wenye damu ya Jacob nao wakabadilo dini wakawa wayahudi kwa imani...ndo maana nao wanajiita wayahudi...ni kama wewe leo unaweza badili dini ukawa myahudi lakini sio Muisrael (damu ya yakobo).
Wayahudi wa kabila ya Yuda ndio wale wako America wanaitwa Black Americans...soma zaidi utajua Kabila la Dan Benjamin ni kina nani leo.
We tangu lini mzunngu akaishi Jangwani???
 
Alikuwa anaitwa Nasser huyo rais wa Misri.

Ikumbukwe Israel walikuwa wametengewa eneo la kuishi Uganda. Ila dakika za jioni Churchill na soros wakafanikisha kupata hicho kipande cha ardhi walipo saivi chini ya Balfour agreement.

Swali; iweje weupe wa rangi watake kujichanganya katikati ya bara la Africa kwa weusi? Wangeweza vipi kujichanganya na kushirikiana na sisi na walikuwa washatutengenezea ubaguzi mkali?

Je' hawakujua ngozi zao ni dhaifu hazina melanin ila bado wakataka kuja kuishi ukanda wa joto karibu na ikweta hapo Uganda?

Ni kitu gani kiliwabadilisha mawazo dakika za jioni na kukacha kuja Africa na kubaki hapo mashariki ya kati?
Hata hapo walipo pia ilikuwa africa before hawajaigawanya na kuiita masharikia yakati but wakaona haitoshi wakaimega peke yake Israel wakaiita eti iko bara la ULAYA...yaani nikicheksho kabisa
Uksioma biblia nchi kama syria lebanon ndio majirani wa Israel lakini huku wakacheza michezo hizo wakaziita Asia ila Israel Ulaya ili kulazimisha wale jamaa kukaa pale.
 
Rejea kuu ya historia ya Israel ni Biblia hususani kitabu cha Mwanzo. Ibrahim ndiye Babu wa Israel. Mungu alimfanya kuwa Baba wa Taifa kubwa Israel (Mwa 22). Ibrahim alipewa nchi ya Kanaani (Israeli ya Leo - Mwanzo 13). Baadaye Mungu aliwatoa akawapeleka Misri kupitia Yusufu (Mwa 39-50). Alikuwa amemweleza Ibrahim jambo hili hapo awali na kuwaambia watakaa huko miaka 400 kisha atawarudisha tena Kanaani (Mwanzo 15). Hivyo aliwapa nchi, akawatoa toka nchi hiyo kwa muda (miaka 400), kisha akawarudisha tena nchini mwao kupitia Mussa (Kut 3). Akawasafirisha kurudi nchini mwao kwa miaka 40 kupitia Bahari ya Shamu (Kut 13-14) jangwani (vitabu vya Kutoka, Hesabu, Walawi, Kumbukumbu la Torati na Joshua) wakiongozwa na Musa na baadaye Joshua. Musa wito wake kuwatoa Misri na Yoshua kuwaongoza kuvuka Yordani na kuwarithisha nchi yao (Joshua 1 - 24). Hii ndiyo iliyoitwa nchi ya Ahadi waliyopewa Israeli. Yoshua aliambiwa awatoe wakazi wa humo waliovamia wakati Israeli yupo utumwani Misri. Hao walikuwa Wahiti, Waperizi, Wayebusi, Wakanaani, Waamori, Wakenizi, na Wahivi. Aliambiwa awapigie (awafute na kuwatowesha kabisa). Yoshua aliwaacha baadhi yao. Hao waliisumbua Israel miaka mingi sana.

Israeli hawakupora nchi ile. Walipewa na Mungu. Alipewa Ibrahimu baba ya Israeli wote. Israeli ni Waaramu toka mwanzo yaani Wasemiti. Sio weusi kwa maana ya Uafrika ila sio Wazungu ( caucasian). Tunajua kuwa wapo "Black Jews" ama Wayahudi weusi; yaani "Falasha Jews". Hawa wapo Ethiopia na wengine walihamishiwa Israeli kupitia "Operesheni Musa" ya miaka ya sabini.

Nchi ya ahadi ni ile Israeli ya leo. Kitabu cha Yoshua kinafafanua sana mipaka hiyo kwa kina
But wale hawakuwa wazungu kabisa.
Wale wa sasa huwezi tofautisha mjerumani na huyo muisrael maana wote wanafanana.
Na kama waliishi germany mamiaka huyo Hitler aliwezaje kuwatofaytisha eti awachome milioni 6???? Ndio maana watu wansema zile zilikuwa kamba tu.
 
Kwa nn hakupewa Tanzaniia? Mm ninayo jua waislaer bado hawafika kwy hiyo Nchi ya qahadi bado wanasafiri, Israël sio Kaanan Kaanan ni mbali sana, km kweli Bibilia iliweza kuelezea safari ya ya wana wa Israël toka utumwa hhadi hapo walipo kwa nn nimeshindwa kuendelea hiyo tamthiliya ya maisha ya hao wasafiri kwa dunia ya sasa?
Hata imeandikwa kuwa nchi yao wataishi MATAIFA...ila wao hawatajijua wao ni akina nani!!!
Na ndio kilochopo leo nchi imekaliwa na Mataifa wanajiita waisrael ili hali hakuna mwenye damu ya yakobo Pale zaidi ya wale jamii ya ethiopia.
Na kwenye ufunuo yohana anaambiwa "hao wanaojiita wayahudi wakati sio ila ni sinagogi la shetani"
 
1.Je baada ya maangamizi ya Jerusalem,tunaambiwa wayahudi walitawanyika kwenda nchi mbalimbali,Je walikwenda nchi gani/bara lipi.
2.Wayahudi hawa wa sasa,uko walipotoka ulaya walikuwa wanadumisha tamaduni,dini,lugha ya kiebrani/kiyahudi?,If not,je Lugha hii na dini hii wameitoa wapi,ni nani aliwafundisha?.
3.Biblia inasema kulikuwa na makabila 12 ya wana wa Israel na wote walijulikana kama wayahudi,Je walikuwa na Rangi moja wote?.
4.Je ni kweli Hittler aliua wayahudi?,kama hakuua wayahudi waliua watu gani na kwa nini?.Na kama ni wayahudi je walikuwa na Rangi gani?.
1.walichukuliwa utumwani kasome kumbukumbu la torati uone adhabu/laana walizopitia ndio utajua jamii gani duniani ilipitia hizo adhabu ndio utajua waisrael halisi ni wapi.
2.lugha yao ilikiwa kiebrania ila wamedanganya kabila la yuda ambalo ni black american hawjajijua ni akina nani . Wapo wachache wameamka but sio wote.
3.walichukuliwa utumwa remember transsaharan trade wakaenda magharibi africa then Usa kipindi cha utumwa..(waafrica walikiwa hawawauzi waafrica wenzano bali walikiwa wanawauza wayahudi wa kabila la yuda)
4.Wale waliopo pale zamani jews wakiwa na nguvu duniani waliwaambukiza utamaduni na dini yao hawa wazungu unaowaona leo wakawa wayahudi kiimani lakini sio kiasili ya damu ya Jacob.
 
Kama hakupewa Israel alipewa nini?,Na je jina hili Israel lilianzia wapi,historia yake ni ipi?
Jina la Israel lilianzia kwa Jacob
Abraham alikuwa Muebrania....so ukoo wake wote ni Waebrania ila makabila matatu (Yuda,benjamin na dani na kidogo LAWI kama sikosei) ndio walianzisha Uyahudi ( wa dini) sababu haya makabila yaligawanyika.
 
Back
Top Bottom