Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Ibrahim atakuwa taiga kubwa..kuna tofauti kati ya Ibrahim na Israel.Ukitaka kuelimika uwe *objective" zaidi ya kuwa "subjective." Sasa tukuambie ile haikuwa familia tu. Ibrahimu mi baba wa Taifa la Israel. Yakobo ambaye ndie Israeli mwenyewe ni mjukuu wa Ibrahimu. Mungu alimpomtokea Musa (Kutoka 3) alijitambulisha kwa majina hayo "Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo." Hiyo ndiyo "Link" tunayotumia humu. MUNGU ndiye aliyesema Ibrahimu atakuwa taifa kubwa "Mwa 22". Sio sisi. Historia ya Israel nje na ndani ya Biblia imedhihirisha hilo. Msikilize sana Netanyahu anapozungumza. Hakosi kuwataja mababa wa Israel hao watatu. Humtaja hata Daudi. Hujivunia link hiyo ya kihistoria.
FOOTNOTE: Kuwa "objective" maana yake upo tayari kusikiliza na kuelewa wanachosema wengine. Unajenga hoja juu ya vyanzo vingi vilivyopo. Mtu "subjective" ni kinyume chake. Chanzo kikuu ni mawazo yake tu.
Abraham na Isaac hawamjui Yahwew.na hawajui Israel ni nini