Ipi historia ya kweli kuhusu Israel?

Ipi historia ya kweli kuhusu Israel?

But wale hawakuwa wazungu kabisa.
Wale wa sasa huwezi tofautisha mjerumani na huyo muisrael maana wote wanafanana.
Na kama waliishi germany mamiaka huyo Hitler aliwezaje kuwatofaytisha eti awachome milioni 6???? Ndio maana watu wansema zile zilikuwa kamba tu.
Yale mauaji yalitokea kweli mkuu, waliuliwa waistrael kweli japo sio wengi kiasi hicho.

Babu zetu walipata tabu sana! Ajabu leo vitukuu wakitaka kurudi kwa mababu wanazamishwa visiwani na boti zao.
 
Yale mauaji yalitokea kweli mkuu, waliuliwa waistrael kweli japo sio wengi kiasi hicho.

Babu zetu walipata tabu sana! Ajabu leo vitukuu wakitaka kurudi kwa mababu wanazamishwa visiwani na boti zao.
Nilimaanisha waliouliwa sio hawa wazungu waliojiita waisrael.
Kitabu cha kumbukumbu la torati kinaelezea laana ana ghazabu walizozipata na kati ya zote zijaona hata moja hao wazungu waliyopitia
 
Siyo waarabu wote ni Uzao wa Ishmeal, maana Ishmael alipoenda uarabuni alikuta wenyeji, akajifunza mila, lugha na tamaduni zao naye akawa arabized.

siyo kila myahudi wa leo ni uzao wa Isiaka, kuna Wayahudi kibao ambao ni watu wa Mataifa walioadopt dini ya kiyahudi, kwa mfano mtoto wa Trump aitwaye Ivanka Trump naye amebadiri dini na kuwa Myahudi (Mumewe ni Kushner ni Myahudi), Sasa Laiti huyo Ivanka asingebadiri dini basi watoto wao wasingekuwa Wayahudi, Lakini kwa kuwa sasa kabadiri dini, basi watoto wake ni Wayahudi. Hii maana yake ni kwamba kama kuna Mwanaume alibadiri dini na kuwa Myahudi, kisha akaoa mwanamke mwingine aliyebadiri na kuwa Myahudi basi vizazi vyao watakuwa Wayahudi. Hii haimaanishi vizazi hivi ni Uzao wa Yakobo, bali ni Wayahudi Converts tu!. Sasa akina Netanyahu waliotokea Urusi, Poland, Ujerumani na sehemu mbalimbali miongoni mwao mababu zao waliconvert tu kufuata uyahudi lakini siyo kizazi cha Israel mwenyewe!
 
But wale hawakuwa wazungu kabisa.
Wale wa sasa huwezi tofautisha mjerumani na huyo muisrael maana wote wanafanana.
Na kama waliishi germany mamiaka huyo Hitler aliwezaje kuwatofaytisha eti awachome milioni 6???? Ndio maana watu wansema zile zilikuwa kamba tu.
Wayahudi ni semitic yaani watu wa mashariki. Wazungu wengine ni caucasian. Daima Wayahudi huoana wao kwa wao. Wanajulikana kwa sura zao, desturi zao, majina yao na hata dini yao. Zaidi tabia zao. Hitler alikuwa anatukuza Arianism. WaArian ni watu weupe waliotokea kaskazini mwa dunia na kuenea Ulaya. Hizi ni nyakati wa Hyskos nao kutoka Kaskazini wakavamia Misri. Hawa WaArian walifika India pia na kuwaachia lugha ya Sanskrit na alama ambayo Hitler aliitumia, Swastika. Ile alama ni ya WaArian. Alichukia umahiri wa Wayahudi WaSemiti.Hivyo akawafadhaisha hadi kuwaua. Aliwatofautisha kama vile unavyoweza kumtofautisha Mkenya na Mtanzania, Msukuma na Mchagga, Mhausa na Mw-Ibo huko Nigeria.
 
Ni kama vile Mkwawa hajui kama hapa Tanzania kila mwaka tuna siku ya Mashujaa na tunamkumbuka yeye kama mmoja wa mashujaa wa "Kalenga".Ohh, hapana Tanzania ingawa haijui Tanzania.

Hata hivyo Ibrahimu alimjua MUNGU wake ambaye kwa jina lake Yahweh alikuwa hajajulikana bado (Rejea wito wa Mussa Kut 3). Walikuwa na uhusiano mkubwa sana. Mungu alimwita Ibrahimu "rafiki yangu". Walizungumza sauti kwa sauti na hata kwa ndoto (Mwa 13, 15 na 18). Isaka hakumjua Mungu wa baba yake vipi? Walikuwa wote katika mlima Moria akiwa tayari kuchinjwa sadaka (Mwa 21-22). Aliwabariki wanae kwa Jina la Mungu wa Ibrahimu baba yake ( Mwa 27).
Samahani.. Nauliza huu mlima Moria ni sehemu gani kwa sasa?
 
B
[QUOTE="NaughtyGuy, post: 27665471, member: 463338" Wayahudi wa kabila ya Yuda ndio wale wako America wanaitwa Black Americans...soma zaidi utajua Kabila la Dan Benjamin ni kina nani leo. We tangu lini mzunngu akaishi Jangwani???[/QUOTE

Nimegundua zipo mada zingine humu hazieleweki kwa baadhi ya wachangiaji ama wanakosa taarifa za msingi za vipengele vilivyomo. Kwa mfano kudai kuwa mzungu hawezi kuishi jangwani! Uzunguni kama Marekani yapo majangwa; Utah, Arizona, Nevada na California. Na watu wanaishi humo. Kuwa na taarifa sahihi kwa mtoa mada na mchangiaji ni muhimu sana.
 
Samahani.. Nauliza huu mlima Moria ni sehemu gani kwa sasa?
Mlima Moria upo Yerusalem katika eneo la uwanja wa hekalu pembezoni walipojenga Msikiti wa Al Aqsa ama " Dome on the Rock". Wanaita wengine "temple mount."
 
Mlima Moria upo Yerusalem katika eneo la uwanja wa hekalu pembezoni walipojenga Msikiti wa Al Aqsa ama " Dome on the Rock". Wanaita wengine "temple mount."
Shukrani Mkuu..

Na je kwanini Ibrahimu alitaka kumchinja mwanawe Isaka?..nini sababu hasa?
 
Ahsante! Hilo lilikuwa agizo la Mungu. Mungu alimwagiza tu naye akatii. Mwa 22 sura yote. Biblia haisemi sababu gani Mungu alimwagiza hivyo.
 
Back
Top Bottom