carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Yale mauaji yalitokea kweli mkuu, waliuliwa waistrael kweli japo sio wengi kiasi hicho.But wale hawakuwa wazungu kabisa.
Wale wa sasa huwezi tofautisha mjerumani na huyo muisrael maana wote wanafanana.
Na kama waliishi germany mamiaka huyo Hitler aliwezaje kuwatofaytisha eti awachome milioni 6???? Ndio maana watu wansema zile zilikuwa kamba tu.
Babu zetu walipata tabu sana! Ajabu leo vitukuu wakitaka kurudi kwa mababu wanazamishwa visiwani na boti zao.