A Anthony horowitz JF-Expert Member Joined May 4, 2024 Posts 421 Reaction score 1,042 Jun 12, 2024 #1 Nakumbuka zili zuka habari na minong'ono mingi ya mabwana hawa wawili. Ghafla waka pewa cheo cha Uaskari, mara tafrija zisizo eleweka. Skendo za raisi wa kipindi kile, sijui mwanae au mkewe naye yumo. Mpinzani akadai mamluki wamefika. Je nani aweza sema kitu juu ya lipi lilikuwa lengo lao hasa.
Nakumbuka zili zuka habari na minong'ono mingi ya mabwana hawa wawili. Ghafla waka pewa cheo cha Uaskari, mara tafrija zisizo eleweka. Skendo za raisi wa kipindi kile, sijui mwanae au mkewe naye yumo. Mpinzani akadai mamluki wamefika. Je nani aweza sema kitu juu ya lipi lilikuwa lengo lao hasa.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Jun 22, 2024 #2 Sijaambulia kitu!
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 22, 2024 #3 Takataka TU KAZI ni kipimo cha UTU
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 22, 2024 #4 Ngoja waje... Cc: Mahondaw
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,459 Reaction score 3,576 Jun 22, 2024 #5 Mohamed ally wa jicho pevu amewazungumzia hao jamaa krt makala yake kuhusu madawa ya kulevya kenya
A Anthony horowitz JF-Expert Member Joined May 4, 2024 Posts 421 Reaction score 1,042 Jun 24, 2024 Thread starter #6 weed said: Mohamed ally wa jicho pevu amewazungumzia hao jamaa krt makala yake kuhusu madawa ya kulevya kenya Click to expand... Nili kutana na mkenya fulani, ndo akawa ana Nipa story zao. Ana sema wali kuja kufata mzigo wao ulio kamatwa
weed said: Mohamed ally wa jicho pevu amewazungumzia hao jamaa krt makala yake kuhusu madawa ya kulevya kenya Click to expand... Nili kutana na mkenya fulani, ndo akawa ana Nipa story zao. Ana sema wali kuja kufata mzigo wao ulio kamatwa