Ipi ilikuwa sababu ya kuachana na uliempenda sana?

Hilo la kukosea text nimecheka sana
 
Kam kilichomtoa kwake ni kuja kubembelezwa na aendee tu kwa hao wanaobelembeleza.....wanaume tuna kazi nyingi za kufanya
Mkuu ujue kila kitu kina protocal zake hivo kutozifuata kunaweza kukufanya ukawa unapigwa na vitu vizito daily.
 
Alisepa na kwenda kwa mwalimu
Baadae wakaachana
Now ananiita kaka, na vihela yya hapa na pale ananiomba, wakati alinitamkiaga kuwa najiona nina hela kumbe sina kitu.
Ke baadhi🙌
 
Aliniambia yeye ni mzuli sana kwamba ananivumilia tu!. kwani Kuna watu wenye pesa na magari wanamtongoza na kumtaka kila siku .

Ili kumwonyesha kwamba Mimi ni mwanaume ninayetaka mwanamke siyo mwanamke mzuli nikamwambia aende huko kwa hao wenye pesa na asinitafute tena.

Ndo nilivyompiga chini hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…