Ipi ilikuwa sababu ya kuachana na uliempenda sana?

Ipi ilikuwa sababu ya kuachana na uliempenda sana?

Salaam,

Kupitia mada hii tutashare sababu mbali mbali zilizotutenga mbali na tuliowapenda sana.

1: ALINIDANGANYA BIKRA
Huyu mrembo alinisubirisha sana, alinambia hajawahi anaogopa hivo kama nampenda niwe mvumilivu, nilivumilia but siku amenipa tunda, sikuona dalili yoyote ya bikra nikatemana naye juu kwa juu.

2. ALIKOSEA TXT
Alituma txt "Sijawahi kunyonya dudu labda ntajaribu" akati kwangu hunyonya daily, sikumtafuta badae akapiga anasema rafikie aliazima sim kuwasiliana na mtu wake but kuna txt kakosea katuma kwako, nilimwambia sawa hii ndo tamati yetu nikakata simu, aliendelea kunitafta bt sikuwahi kumjibu na huo ndo ukawa mwisho wetu.

(1) alinidanganya bikra
(2) alisema mimi kibamia
 
1.Tulifikia hatua ya posa kabisa ila alipoonyesha dharau kwa washenga, nikatoka nduki. (Maswala ya mila na tamaduni zao ilikuwa sababu )

2. Alianza kutongozana na Baba angu mdogo. Nikaona isiwe kesi nikazima data.

3. Dharau tu, miadi ya saa 7 yeye anafika saa9 pasina kutoa udhuru.

(Nikajipatia mhehe wangu mshamba mshamba nikaweka ndani. Nakula raha za elimu akhera)
Safi sana wakishakuwa wajanja ni wasumbufu balaaa
 
1.Alinihadaa mimi yule kaka nakuja kugundua wiki inayofuata anaoa 😂 nililia kilio cha kenge kichaa.....na ilikua mwisho kulizwa na kiumbe hai
poo' uliniweza Baba🙌🏿😂
Nisamehe mayi.. nimekumic mayi🙏
 
Nisamehe mayi.. nimekumic mayi🙏
Mmmh
20240922_083509.jpg
 
Back
Top Bottom