Ipi inafaa kati ya hizi?

Ipi inafaa kati ya hizi?

Hivi vigari unabebea mzigo wapi na kwa familia zetu za extended ni kama kuwatenga wengine maana havibebi zaidi ya abiria watatu kabla ya kununua kwanza angalia wingi wa wanafamilia yako bora kununua gari kama nooah ila kama ni wewe mwenyewe na familia ndogo sawa ila kwa safari ndefu siyo vyepoesi sana barabarani rahisi kusukumwa na upepo wa malori na mabasi yakikupita na hata mitaa ya same unaweza paishwa na upepo mkali ina elekea pia ni gari za watu mabahili wanaotaka mafuta ya tsh 50 kuelekea mwanza

Sawa mkuu delusions. Umenifanya nicheke sana. Ila ushauri wako naufanyia kazi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu matumizi ni misele ya hapa hapa mjini mkuu. Maisha halisi ya mtanzania kazini, kanisani, hapa na pale.
Kwa hiyo we una suggest Nissan March hapo au una lingine?

Kama ni misele ya kawaida go for mercedez C 180, Nayo ni nzuri tuu, au tumia ile swift.
 
Mkuu msede watu tunaogopa bei ya vipuri na service. Ziko juu sana. Hakuna mtu asiyependa mercedes kaka. Ila uhalisia upo hapo. Mambo ya kupaki gari na kuanza kutafuta hela ya spares original ujerumani au kwingineko ndo ishu. Najua unanielewa mkuu Steven Robert Masatu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu sasa kama unaweza hudumia hiyo suzuki swift, mazda Demio, au VW, hiyo mercedz haiwezi kukushinda mkuu. Ni gari nzuri sana sema tunaiogopa ajili ya jina tuu lakini maintenance cost yake haitofautiani na hizo zingine tofauti na Toyota.
 
Spare parts upatikanaji wake ukoje? Bei? Fuel consumption?
 
Mkuu spare parts zipo wala usitishike, sawa tuu na Verrosa, VW but swift naona spare zake zipo juu kidogo compared to Mercedz C180, kuhusu mafuta ni sawa tuu na VW, DEMIO but kwa swift itakuwa chini kdogo kulingana na CC.
 
Hii hapa
benz-c-class.jpg
1760CC na 1990CC chaguo ni lako.
 
Mkuu spare parts zipo wala usitishike, sawa tuu na Verrosa, VW but swift naona spare zake zipo juu kidogo compared to Mercedz C180, kuhusu mafuta ni sawa tuu na VW, DEMIO but kwa swift itakuwa chini kdogo kulingana na CC.

mercedes c180[2004] 1900cc fuel consumption ni 34MPG[34 miles per galon].....VW POLO[2004] 1200cc fuel consumption ni 44MPG sijui unamaana ipi kusema VW polo na mercedes c180 fuel consumption ni sawa.
 
Mkuu tofauti ni ndogo sana, Ebu angalia ya 1760cc,nayo hailingani na VW hiyo aliyoweka picha yake hapo juu? but sorry for that difference. GO FOR IST as per Tcleverly
 
Ebu jaribu Subaru Impreza ina cc 1500 spare zipp nyingi na haina gharama
 
Vipi kuhusu Toyota Raum? Mwenye data atujuze tafadhali.
 
Back
Top Bottom