hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
- Thread starter
- #41
Hivi vigari unabebea mzigo wapi na kwa familia zetu za extended ni kama kuwatenga wengine maana havibebi zaidi ya abiria watatu kabla ya kununua kwanza angalia wingi wa wanafamilia yako bora kununua gari kama nooah ila kama ni wewe mwenyewe na familia ndogo sawa ila kwa safari ndefu siyo vyepoesi sana barabarani rahisi kusukumwa na upepo wa malori na mabasi yakikupita na hata mitaa ya same unaweza paishwa na upepo mkali ina elekea pia ni gari za watu mabahili wanaotaka mafuta ya tsh 50 kuelekea mwanza
Sawa mkuu delusions. Umenifanya nicheke sana. Ila ushauri wako naufanyia kazi
Last edited by a moderator:
