Ipi inakuzingua, ya Preta au ya Rose?



Niambieni, ipi avatar gani inakuacha hoi? Aliyelala chali ni Preta na anayekonyeza ni Rose.

Mimi zote tamu.

we mchokodhi ...mi thitak uchkodhi wako ivoooooooo...
namimi nikikuchokodha utafurahi?
 
zote full VIPAS ndugu yangu, Jicho la Kushoto likikubonyeza ni neema ya ajabu mkuu kama mlevi vile, Lakini ya PRETA kiama maana Mguu wa Kulia ukiwa juu ujue FINITO hapo, unaitoa ile kitu kwanza na MENO kama chizi vile au unajifanya huioni kama iko at the end UNAIKATA kwa hasira, UNAZAMA uvinza fasta bila kuhoji neno, usiombe yakukute hayo ndugu yangu.
 
preta drives me nuts... i wish...
 
shost tudhamirie kubadirisha PICHA?
au tuziache?
bt jicho langu bovu isnt me!

ha ha.....kwanza watueleze ni nini kinaleta shida hapo....tukijua ndio tuwafikirie kama wanakwazika ama lah....bila hivyo.....:nono:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…