Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
Kwani wakoje? Sura za kutishia watoto kulala nini?
dah nimecheka kakangu acha
yap ..sura za kutisha A.K.A sura za maandamano...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wakoje? Sura za kutishia watoto kulala nini?
Mngewaona akina Rose na Preta wenyewe sijui ndo mngeongea haya?!!! Au mngekula kona
Mimi zote zinanichanganya vibaya!!
Mimi ya Rose inaniua kabisaaaa
![]()
![]()
Niambieni, ipi avatar gani inakuacha hoi? Aliyelala chali ni Preta na anayekonyeza ni Rose.
Mimi zote tamu.
![]()
![]()
Niambieni, ipi avatar gani inakuacha hoi? Aliyelala chali ni Preta na anayekonyeza ni Rose.
Mimi zote tamu.
Unajua ni kwanini ya Preta inanizingua.
Kwanza anaivua bila kuishika na mkono. Meaning hands are busy with something else.
ngoja nipumzike nikaoge...maandamano kesho
ngoja nipumzike nikaoge...maandamano kesho
Ni kweli mamaa kumbe wamenisachi hapa gymOoopss sio shopping honey naona vijisent hapo
haiyaaa.....
shost tudhamirie kubadirisha PICHA?
au tuziache?
bt jicho langu bovu isnt me!