Ipi inakuzingua, ya Preta au ya Rose?

Ipi inakuzingua, ya Preta au ya Rose?

avatar20103_17.gif
avatar23521_1.gif
Niambieni, ipi avatar gani inakuacha hoi? Aliyelala chali ni Preta na anayekonyeza ni Rose. Mimi zote tamu.
Ya Preta bomba iko ndani ya 18
 
avatar20103_17.gif
avatar23521_1.gif

Niambieni, ipi avatar gani inakuacha hoi? Aliyelala chali ni Preta na anayekonyeza ni Rose.

Mimi zote tamu.

ya preta its more practical and straight to the point,,,,,,,,,ya rose its more deceiving and make you wanna.......
 
Mambo,long time no see,hope you get what you wish for,cheers.

mambo poa tu my dear
vipi za kupotea??
holiday ilikuwaje?

mmmmhhh im still waiting for same of my wish to come true
good things take time.....

Heri ya mwaka mpya....
 
mambo poa tu my dear
vipi za kupotea??
holiday ilikuwaje?

mmmmhhh im still waiting for same of my wish to come true
good things take time.....

Heri ya mwaka mpya....
Mi mzima dear sikukuu ilikuwa nzuri,aah AD wacha hizo bana still waiting na umeshampata TF au ni penpal.
 
Mi mzima dear sikukuu ilikuwa nzuri,aah AD wacha hizo bana still waiting na umeshampata TF au ni penpal.

hahahahahahah lol
mmmhhhh mie na TF sasa tunaongelea Open Relationship
hahahahha lol

vizuri kukuona tena kwa kweli
 
hahahahahahah lol
mmmhhhh mie na TF sasa tunaongelea Open Relationship
hahahahha lol

vizuri kukuona tena kwa kweli
Nami nimefurahi kukuona,sasa kukwambia ufunge shati ndio umeondoa kifua kabisa ?
 
Nami nimefurahi kukuona,sasa kukwambia ufunge shati ndio umeondoa kifua kabisa ?

hahahahahah lol
naona holiday yako ilikuwa nzuri...

maana naona maneno ya Uporoto ya mwakampya yameanza lol
 
hahahahahah lol
naona holiday yako ilikuwa nzuri...

maana naona maneno ya Uporoto ya mwakampya yameanza lol
Si unajua tena tunapunguziana mawazo kwenye keyboards zetu, usiku mwema muda wangu wa kulala umefika.
 
Back
Top Bottom