Ipi inalipa kati ya Reustarant na M Pesa?

Kweli kabisa. Angalia sehemu yenyw mzunguko wa pesa (mazingira) biashara ya restaurant inauzika since watu wanahitaji kula,lakini uwaandalie chakula kizuri. Hata Kama utakuwa na sehemu nzuri chakula kibovu watu wataishia kunywa soda na kufata kivuli tu jua likuwa Kali.

M pesa inalipa lakini uwe umejiandaa li saikolojia usumbufu mtandao (siku nzima mtandao haufanyi kazi),wizi mtandaoni na wizi wa kuvamiwa now days it emerg maduka ya pesa mtandao kuvamiwa.

3. Maduka ya reja reja nayo sio mbaya tunarudi pale pale mazingira,.

Kila la kheri na mafanikio mema.ikiwezekana katika M8 naomba elfu 10 moja. (I'm kidding)
 
Ntaenda na experience za wengine wakishusha hapa chini tujifunze
 
kuna kitu wanauta fixed assets,meza,viti,vyombo vinaweza kuchkua ata 2.5-3 m kutegemeana na ubira unaoutaka....kuna tra,tfda na ushuru mwngne wa manispaa...so mtaji ulionao apo ni 5 m I! u are lucky.

Kuhus mpesa kwanza biashara is solely based on location...ukikaa sehem yenye watu wengi utapata faida nzuri(ata ivyo maeneo yenye pooulation kubwa kodi huanzia lak 2-3 kutegemea na mkoa kwa mwezi,miez 6.ila risk kubwa ni ujambaz ambao wakikubahatisha wanabeba mpaka nalain....

So binafsi nakushaur upate hesabu sahihi zabiashara unayotaka kufanya il uwe kwenye nafasi nzuri yakuamua
 
Ahahhahha,dah wakati wa magufuli huu watu wachungu.Buku kumi ndefu now [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ahahhahha,dah wakati wa magufuli huu watu wachungu.Buku kumi ndefu now [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ha ha ha ha. Ila kweli kumi nyingi Sana Noe days,but Nmemalizia I'm kidding tho jamani. Not serious.
 
Ok amina
 

Humu ndani nawapendea kitu kimoja......kwenye mambo ya maana kama haya mnatoa ushauri mzuri sana na wengine tuna jifunza humu humu...
ila mkiamua siku nyingine mna mpa mtu za usoo....
 
Mpaka hapo utakuwa ushajua nn cha kufanya cheza na mazingira tuu sasa.
Ungekuwa huku mgodini ungenunua mtungi wa kusaga mawe kwa miez 6 hukosi mil 10 hadi 20 kutegemeana ba bidii yako
 
Kibaya kingine... unayempa kazi kwenye kibanda chake unakuta naye anafanya biashara hiyohiyo.... anatumia line yake kufanya miamala... we unaona biashara haiendi
 
Unariski vp na ile ni biashara pesa kwa pesa? Biashara ikibuma unaondoka na mtaji wako unaangalia mambo mengine, restaurant, biashara ya viduka vya reja reja ndo pasua kichwa mkuu. All in all location ndo matter
 

Miradi yote hiyo / Biashara zote hizo zinafaa Mkuu ila ukiwekeza zaidi katika ' Kuteka ' Watu hasa ' Wasanii ' na ' Wanasiasa ' utapiga ' Pesa ' ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…