Ipi inauma sana kati ya mke na Dada kumkuta na mtu?

Ipi inauma sana kati ya mke na Dada kumkuta na mtu?

Nimesoma mpaka PhD hewa nikarudia nikuazima cheti ila majibu ya swali lako nimekosa nimechukia maana umenipotezea mda kusomea kisicho na majibu
 
Na dada yako akikukuta unamgonga mdada unadhani ataumia au atafurahi?
 
Mkuu dimaa naomba nijibu swali kwa swali

Fact ya mwenye dada hakosi shemeji na
Fact ya mwenye mume hakosi mume mwenza

Ipi inauma?
Mrs joanah unauliza swali juu ya swali, huu ni mjadala wa ushauri, hebu ww toa hoja yako.
 
Ha ha ha ha nyie ndo wale ambao Dada zenu wakiolewa mnalia, ukiulizwa Kwanini unalia et nilimzoea.

huyo atakuwa siyo Dada yako Bali pumziko lako ndo maana unaumia kwa kuchukuliwa na mwingine
Rudi kwenye point Mrs!
 
Makubwa nayo haya mm nangojea umri wako uende ili ujaaliwe kupata mke naamini siku utakayomkuta mkeo na mwanaume mwengine na dada ako utakapomwa na mwanaume yup atakuuma zaid nangojea mrejesho kutoka kwako mleta uzi
Kwahiyo umri wangu bado?, umejuaje kama sijaoa ukhuty?
 
Kwahiyo umri wangu bado?, umejuaje kama sijaoa ukhuty?
Yeyeto aliyeoa hawezi uliza swali ulilouliza wew ukitaka kujuwa we nye ndoa humu angalia majibu yao over
 
Khaa we nawe sasa dadaako ulitegemea awe mtawa ama,we unadhani na yy hahitaji kupata mautamu unayowapa dada za wenzako,mimi dadaaangu hawezi niuma sababu najua lazima ataliwa tu vyovyote iwavyo.hata nimkute na nani alimradi tu huyo bashaake haniletei dharau.
Hahahaha una moyo wa kishujaa
 
Back
Top Bottom